Recent content by CHOTABUSARA

  1. CHOTABUSARA

    Royal tour tungetumia watu Maarufu duniani ila sio rais Samia

    Hellow. Najaribu kuwaza tu nazani sivunji sheria. Sina elimu ya masoko na mambo ya promotion lakini najua swala la msingi unapotaka kuinadi bidhaa fulani lazima ujue una target soko lipi au watu gani, soko la nje au la ndani ya nchi, wanawake au wanaume nk. Royal tour ilikua ina lengo la...
  2. CHOTABUSARA

    Siku ya Wanawake Duniani: Itafutwe namna ya kuonyesha jitihada za wanaume kifamilia na kijamii

    Ni vyema kuwashukuru na kuwapongeza mama zetu kwa kutulea toka tumboni mpaka leo. Watu husema wababa wengi hufa mapema kuliko wamama kutokana na kutokuongea na hivyo kupata magonjwa yatokanayo na misongo ya mawazo. Jana ilikua siku ya wanawake duniani, wanawake wengi waliongelea ubora wao na...
  3. CHOTABUSARA

    WAAANDISHI WA TANZANIA VICHWA MAJI TUPU

    Nashangaa waandishi wa habari wa Tanzania, nao wanatekwa na matukio badala ya kufanya kazi zao kwa uweredi, Leo hii Vijana wa Serengeti boys wanacheza fainali kombe la CECAFA under 17 dhidi ya Somali, vijana hawa wamefanya kazi kubwa kufika hatua hii ya fainali na kuitangaza nchi yetu vyema...
  4. CHOTABUSARA

    TANZIA Kaoge afariki dunia

    We ulietoa hii habari, kifo cha shoga waga hakitangazwi, shauri zako yatakayokukuta utajua mwenyewe
  5. CHOTABUSARA

    Unawekaje location kwenye Instagram?

    Hivi zile location za kwenye instagram inatakiwa uweke sehemu ulipokua wakati unapiga picha au sehemu iliopo wakati unapost picha, mana naonaga picha mtu anaonekana yupo polini halafu pale juu eti Sea Cliff Hotel Sent using Jamii Forums mobile app
  6. CHOTABUSARA

    Kuna Article nimeipata hapa imeandikwa na Liverpool Echo kuhusu Tanzania naomba Tuisome

    Haiwezekani kutoka airtport kwenda sea cliff iwe km 10 ni karibu km 30 Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
  7. CHOTABUSARA

    Mtindo wa bar kukata tissue

    Huu mtindo wa kukata tissue kwenye ma bar ulitoka wapi? mana niko sehemu kuna mteja analalamika kwanini amepwa tissue ambayo haijakatwa? Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
  8. CHOTABUSARA

    Matrafiki na tochi katikati ya mji wa Dar es Salaam

    Wananifurahisha sana hawa askari wa barabarani unapopita kwenye mataa trafiki akiongoza magari anakulazimisha ukimbie ukipita umbali kidogo mainline anakusimamisha kuwa ume over speed, which is which? Mi nazani kwa Dar na foleni hizi wangeacha tu mana sehemu kubwa huwa ni foleni hata hiyo speed...
  9. CHOTABUSARA

    Kwanini hii nchi kila mtu ana madaraka

    Jana nilifika airport Dar nikaita Uber, baada ya kuingia kwenye gari nilishangaa watu wakavamia ghafla nakuanza kugombana na driver eti Uber hairuhusiwi Airport Dar, nilishangaa sana nikauluza kwani hawa wakina nani? Ni polisi au? Nikaambiwa ni madriver wa tax tu pale airport, sasa nachojiuliza...
  10. CHOTABUSARA

    Manara: Jumanne Nabutua, wanachama wetu watulie

    Huyu nazani akatetee haki za walemavu mpira umeisha mshinda
  11. CHOTABUSARA

    Angalia rank ya Chuo alichosoma mwanao/nduguyo halafu jiulize kwanini hana ajira

    Yani mtu alieleta hii thread hamna akili kabisa yani Kampala University kipo juu ya Ardhi, DIT, na IFM, kweli kichwa maji
  12. CHOTABUSARA

    Leo bunge mubashara kisa PM anasoma bajet yake

    Nacheka kwa masikitiko sana, yani sasa Bunge litakua linachagua nini vyombo vya habari vionyeshe live na nini visionyeshe, halafu nchi hii inasema kuna uhuru wa vyombo vya habari, au ni "not to that extent" nakumbuka juzi ktk uchaguzi wa bunge la EA lilikua live na leo sababu ya budget ya ofisi...
  13. CHOTABUSARA

    Clouds Media Group tunawaomba mumsamehe Mtangazaji wetu Kipenzi Alex Luambano

    Watauita uwanja wa Bashite tunaemjua sisi badala ya Makonda huyu alielewa madaraka
  14. CHOTABUSARA

    TBC wakiuka makubaliano ya jukwaa la wahariri

    We mwenyewe tayari umetangaza habari ya Makonda hapo
Back
Top Bottom