Duuh yaani stori yako tuu dushe hilooo.... Daaaah !!!
Ila jiangalie ukimla huyo atataka kila siku...siku ya kwanza utamg**ea chumbani, siku ya pili chooni, siku ya tatu sebuleni , siku inayofuata kwenye maua nje !!, ipo siku atataka mchezo wakati mjomba yuko ndan na mkewe
Brother mi natafuta kuwa house boi hapo kwenu... Mm ni mtulivu na sina papara....
Ila ntafanya kazi bure hapo kwa mwezi mzima bila malipo !!?? Na ikiwezekana badae tytaelwana malipo tuu..
Ila nasifika kwa kufanya kazi ngumu, na za kawaida...halafu ntakuwakama mwalimu kumfundisha huyo mdogo wako...
Kaka umepotea mkuu... Huku watu wanalima wanafuga hata kama kuna ukamee... Watu wanakomaaaa...
Huo utafit ni wa dar tuu na mikoa yake ya karibu karibu sio pande hiz mkuuuuu
Tatizo tumepewa elimu ya mkoloni ya kukaririshwa... Kwahio wasomi wengi ni watu waliokariri madaftari tu !!
Yaan mm huwa nna wasi was sana na elimu ya baadth ya viongoz wetu hapa tz... Maana maamuz yao yanaonyesha wazi ni watu waliopita njia za panya kupata hivyo vyeti....
Yaani kila siku watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.