Recent content by chonyaWachilonwa

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wapendwa naulizia wapi naweza kupata mbwa waliopata mafunzo kwa ajili ya ulinzi

    +255 755 886 755 mtafute huyo jamaa analeta mbwa toka SA na Serbia
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini mlikataa Kikwete kuitwa dhaifu?

    Jambo la ajabu alipongia bungeni hivi karibuni JK alishangiliwa na kuambiwa "we miss you"[emoji15] Hata wapinzani wanamkumbuka Mr dhaifu[emoji849]!.Usihofu kwa yote haya, hii ndo miujiza ya siasa[emoji28]
  3. C

    JamiiForums Tanzania Maziko ya "Ngosha" aliyebuni Nembo ya Taifa utata

    Inasikitisha sana halafu ni Ngosha angekuwa mangi angewahishwa marangu na wenzie
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wandugu nimepatwa

    Kwa ufupi nadhani ulijaribu ujima
  5. C

    JamiiForums Tanzania Thank you America God bless you!

    Kidding I suppose!
  6. C

    JamiiForums Tanzania Pumzika kwa amani mdogo wangu

    Hakika maisha na dunia ni starehe ya muda na akhera ni marejeo. Sabrinah MwenyeziMungu aifanye wepesi hesabu yako na awape subra wazee wako nduguzo na jamaa zako na msiba wako utupe ibra tuliobaki nyuma yako.Mimi ni mzazi nimeshindwa kuvumilia maumivu ya wazazi waliofikwa na msiba huu...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo yalivyo machinjio ya mbuzi na ng'ombe Mji wa Shelui Iramba Magharibi

    Machinjio ya vingunguti hayana sana tofauti na hayo "Priority zetu zipo "upsidedown".huwezi amini kuwa tunalishwa sumu kwa pesa zetu na kodi tunalipa
  8. C

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Padre Kanisa Katoliki, Privatus Karugendo afunga ndoa!

    Watu wengi hawajui kuwa upadre ni "Vazi", unaweza ukavaa na kisha ukalivua kukingana na mazingira na utashi.Pia waweza vuliwa na "wenyewe" iwapo wataona hufai
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nilibadilika mwonekano na kung'aa nlipofika sehemu nlipopatia ajali

    Mangi nenda ktk zile kazi zetu walizotuachia wazee wetu,haya mambo ya maujanja waachie "chasaka".Nguo nyeupe ,viatu vyeupe ,mafuta mazuri na afro ni mambo ya congo brother achana nayo
  10. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania East Africa's Tallest Towers over 100m (Complete and Under Construction)

    Ujinga ni kupinga ukweli
  11. C

    JamiiForums Tanzania Meli kubwa ya angani (Airship) kusafirisha nje (export) Gesi kutokea Tanzania

    Ole wao wachanganye helium na oxygen yetu.tutayashikilia maputo mpaka yapasuke
  12. C

    JamiiForums Tanzania Meli kubwa ya angani (Airship) kusafirisha nje (export) Gesi kutokea Tanzania

    Ukiogopa kuliwa kidogo........JK
  13. C

    JamiiForums Tanzania Jamaa aliyekufa miaka 14 iliyopita afufuka na kusimulia maisha aliyokutana nayo alipokuwa

    Haya yanawezekana kusini nyanda za juu tu,hii mambo kaskazini hakuna maana ni upuuzi uliopituka.tufanyeni kazi tuachane na ujanjaujanja tutabaki masikini.ukisimama moshi kuwaeleza watu huu upuuzi utakula makofi
  14. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia mbadala ya kuepuka kufanya PUNYETO (ngono binafsi)

    Mr Kisandu Je ukisikia njaa zipo njia mbadala za kuepuka kula?,ukisoma bibilia utasahau njaa?[emoji849]
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kwa hili namuunga mkono Rais Zuma wa Bondeni kwa Madiba.

    Mkuu Deo siku nyingine tandika kisukuma tu tutatumia mtandao kutafsiri na tutaelewa.kwa umri wako hii lugha haiwezi kuingia tena jaribu kuweka mkazo ktk kiswahili huenda utafanikiwa
Back
Top Bottom