Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,261
- 72,431
Wampumzishe salama mzee wetu aisee wasilete longolongo
Mtanzania ndani ya Tanzania anakosa ndugu wa kumzika!
Angekuwa ni mwana ughaibuni pasingetosha hapa.
msiba hauna pesa?,tembelea Arusha ujue yanayojiri, RIP ngosha, RIP Philemon kiwelu ndesapesaHapo ingekuwa wanatafutwa ndugu wa marehemu ili wakabidhiwe pesa za kumtunza mzee basi pasingetosha ila kwa sababu ni msiba watu wamepiga kimya.
Anyway ndivyo binadamu tulivyo
Sio waafrika bali watanzaniaNi jambo la aibu sana na si la Kistaarabu hasa kwa Watanzania ambapo Mtu unajua kabisa kuwa Ndugu yako amefariki dunia halafu mnatafutwa mnanyamaza. Na usikute hao hao ambao wamenyamaza Mzee ndiyo alitumia Pesa zake zote za Kiinua mgongo kuwasomesha hadi wengi wao leo hii wamefanikiwa Kimaisha. Waafrika sijui nani alituroga hakyanani!
🙂🙂🙂🙂🙂🙂 very interesting wakuchague uwe msemaji waserikali mkuu.Siku nyingine wawe wabunifu mnapoita ndugu wa marehemu ambao wamesusia maiti.
Semeni serikali inatambua mchango wa mzee huyu katika taifa hili, hivyo tunawaomba ndugu wasiiachie serikali pekee msiba huu mzito hususani ukusanyaji wa rambirambi ambazo zinaendelea kutolewa. Ni vyema ndugu wajitokeze ili wakabidhiwe kilichopatikana na waendelee kusimamia wenyewe kitakachopatikana.
Kesho ukoo mzima upo hospitali.
Siku nyingine wawe wabunifu mnapoita ndugu wa marehemu ambao wamesusia maiti.
Semeni serikali inatambua mchango wa mzee huyu katika taifa hili, hivyo tunawaomba ndugu wasiiachie serikali pekee msiba huu mzito hususani ukusanyaji wa rambirambi ambazo zinaendelea kutolewa. Ni vyema ndugu wajitokeze ili wakabidhiwe kilichopatikana na waendelee kusimamia wenyewe kitakachopatikana.
Kesho ukoo mzima upo hospitali.
kwa serikali ipi ya kupeleka rambirambi kwa wafiwa? ..nani ataamini? wala hawatajitokeza kwakuwa wanaijua serikali hii, badala yake wanaweza wakachangishwa wao kisha michango hiyo ikachukuliwa na serikali!basi serikali itangaze kuwa inatafuta ndugu ili wapewe rambi rambi ione kivumbi chake....
Hahahaaa nachangamsha genge tu, kuwa msemaji its a professional.I see! Kama nakuona vile umepewa kitengo cha Msigwa, unatoa taarifa kwa niaba ya Serikali...