Recent content by Chonya

  1. C

    Basi la LEINA TOURS Kufika Kahama saa 12:00 Jioni kutokea DSM je ni halali?

    Jana nilikuwa natoka Manyoni kuja Dar es Salaam. Nikiwa maeneo ya Mtumbatu Gairo majira kama ya saa 9.00 alasiri, basi la Leina Tours kutoka Kahama kwenda Dar es Salaam lilinipita kama vile nimesimama wakati speed yangu ilikuwa 130 km-h. Mwendo wa Basi hili ni wa kasi sana na endapo emergency...
  2. C

    INTERIOR DESIGNING - Service !

    you are good! please give me your contact number
  3. C

    Mabomu ya Machozi yatumika kuwasambazi wananchi pamoja na Wanafunzi Mjini Dodoma

    kweli ndugu yangu hiyo dawa ni shubiriiii,lazima ccm wakione cha mtemakuni. Muda wakuwachezea watu umekwishaya
  4. C

    GE2010 Kikwete Live on Power Breakfast (Clouds FM)

    Lakini jamani huyo si ni Dr.? anashindwaje kujibu maswali ya fourm four? na kama hizo ahadi za hapo kwa hapo siyo za chama utekelezaji wake utakuwaje? kama tu zilizoko kitabuni na zenye kumbukumbu kwa umma zimeshindikana na wanaendelea kurithishana!!!!! Sijui niwaambieje watz kuwa huyu...
  5. C

    Kwenda Sauzi bila VISA kuanzia NOVEMBER

    Habari wana JF, Ningependa kuwajuza kuwa kuanzia 1st November 2010 kwenda South Africa kwa mbongo yeyote mwenye kumiliki PassPORT halali hatahitaji VISA. Kwa wajasiliamali na wasomi hii ndo nafasi ya kuanza michakato ya kutafuta maisha maana ile adha ya kupanga foleni na kupigwa tarehe za...
  6. C

    Nampenda Lakini...??

    easy, ina maana na ujanja wako wote umemwona huyo tu? kwani ni lazima au unataka kutusumbua tu? kama unampenda kuliko maisha go for her????? na kama unaona unahitaji kuishi japo kidogo jaribu kumuepuka, maana sidhani kama utakuwa na muda wa kumfanyia research! watu wengine hawajulikani hata...
  7. C

    kWA MWENYE KUTAKA KUNUNUA NYUMBA ,GARI AINA YA GOLF NA MACHINE ZILE ZA ICE CREAM .

    bado nyumba ipo? nahitaji kuja kuiona!! pia hiyo golf kama bado ipo itakuwa muafaka pia kuiona. nitapenda pia kutembelea warehouse yako naweza kupata items za kununua.
  8. C

    Gari ya kukodi inatafutwa

    nina Land Cruiser VX and Land Rover 130 (double cabin), nipatie details za kazi na muda wa kukodi!!!
  9. C

    Gari ya kukodi inatafutwa

    umesha pata gari uliyoitaka? nipatie discription ya gari unayoitaka na kwa muda gani!!!
  10. C

    Watu Zaidi ya 5000 wapiga picha wakiwa uchi

    Ni kweli, vyanzo vya habari vinaonesha wamekuapo watu wa makundi mbalimbali ya jamii, kuanzia waalimu, madaktari na hata nimesikia mhabarishaji mmoja (aliekuwa anaripoti tukio) alichojoa na kwenda kujiunga.
  11. C

    Watu Zaidi ya 5000 wapiga picha wakiwa uchi

    Hata mimi nimeona kwa TV, nimeshindwa kuelewa kisa ni nini.
  12. C

    Kikwete to USA (May 2009)

    Wakuu,ni ukweli usiofichika kuwa Rais Kikwete anastahili kupewa credit kwa kuleta mahusiano mazuri na nchi za nje.ikiwemo Marekani. Rais Kikwete aliweza kuconvice jumuia ya Leon Sullivan Foundation kufanyia mkutano Arusha. Sullivan Summits are a bridge between America and Afica and the...
  13. C

    Review Classes

    Hamfundishi Management Accounting(module F) jamani huko? Mimi nna tatizo miaka nenda rudi na hiyo management accounting!!!!!!!!!!
  14. C

    Unga Unga wapelekwa kwa mkemia mkuu

    wanatuzingua tu hawa!!!!
Back
Top Bottom