kWA MWENYE KUTAKA KUNUNUA NYUMBA ,GARI AINA YA GOLF NA MACHINE ZILE ZA ICE CREAM .

farouk10

New Member
Sep 27, 2010
4
0
A/a kwa yoyote yule mwenye kutaka kununua nyumba zanzibar sehemu mombasa nyuma ya air-port ni sehemu za ramani na nyuma zote jirani ni zakileo ninyumba ya vumba 3 includi master rm, vyoo 2,kumbi 2,majiko 2 na kisima cha maji ndani na ina makabadi ya kiulaya jikoni iko (full complete)nikuingia na bag lako tu, bei ni millioni 100 majadiliano yapo. Na nina gari model golf cl 95 black ninauza millioni 5 na machine za ice cream 3 nyengine nimecha zimebakia 3 ukubwa wamachine nikama nusu ya friji kwa kwenda juu au sawa na washing machine. Ni heavy duty ni kwa kufanyia biashara bei ni million 3 mazungumzo yako ukishukuwa kwa jumla. Kwa maelezo zaidi ya kutaka kuziona wasiliana namimi farouk mmanga 0777436842/0777843578 zanzibar. mmkn87.jpg VW Golf GTI black001.jpg View attachment 14453 dally2.jpg

majine ni
 
hiyo VW golf nimeipenda nakupigia sasa hivi naomba humu JF mtu mwingine asiingilie biashara ya hiyo Golf nimeiwahi mimi tafadhalini sana ndugu zangu.
 
hiyo VW golf nimeipenda nakupigia sasa hivi naomba humu JF mtu mwingine asiingilie biashara ya hiyo Golf nimeiwahi mimi tafadhalini sana ndugu zangu.

Yeah hata mimi napenda sana GOLF ni strong kaa na ndio ninayotumia lakini ni 3 doors sio 5 doors,Unaweza kwenda hata mileage 250,000 lakini bado engine ina nguvu kabisa so mkuu chukua kitu hicho,utapita miezi na miezi hutosumbuka kwenda garage!
 
Mkubwa hilo gari limeenda mileage ngapi??Tujuze kwanza,ila nawashauri wote katika magari VW GOLF ni gari!
 
A/a kwa yule mwenye kuuliza Golf kuhusu no za usajili sasa hivi imesha sajiliwa no za zenji ikiwa unaitaka basi unaweza kunipigia sm na kuja kuiona na ukitembea katika Godown langu unaweza kupendezewa na vitu vingi kununua mimi huletewa vitu na jamaa zangu na nikauza. no zangu ni 0777436842/0777843578 kwa maelezo zaidi napenda unipigie sm au kutembelea sehemu ya hala yangu Kwerekwe Zanzibar. Assante.
 
Farouk uko juu!! Asanteh kwa kutupatia source ya vitu unavyouza! vipi source ya Nyumba?
 
A/alaykum Bw Mlachake kuhusu source ya Nyumba nikuwa mwenye kuuza yuko nje uk na alihitaji pesa ili kukuza biashara zake za huko na kulipa madeni. detail za Nyumba ni Nyumba ya kileo yenye vyumba 3 na master Rm 1,ina kumbi 2,majiko mawili la ndani ambalo makabati yake kutoka uk na lanje ni kibanda cha tufali kikiwa na chumba cha store, ina kisima cha maji ndani na ndani ina tese Nyumba mzima na njee ina vitufali vya kuweka kwenye floor inaingia gari tatu kwenye fance yake na juu imeezekwa vigae vya south africa na location ni Zanzibar Mombasa Mbuyu mnene eneo lote hapo ni nyumba za kileo na niviwanja vilivyopimwa na serekali na hati zote miliki zipo chazaidi ni kupiga sm na kuja kuitembelea mengi utajionea mwenyewe kwa macho yako? nilikuwa nidie picha ya sehemu yote ya njee lakini imekuwa haikubali ktk hii web.Allowed Filetypes:
 
bado nyumba ipo? nahitaji kuja kuiona!! pia hiyo golf kama bado ipo itakuwa muafaka pia kuiona. nitapenda pia kutembelea warehouse yako naweza kupata items za kununua.
 
Back
Top Bottom