Nampenda Lakini...??

...Mnishauri wanajamii mie kiuno changu nadhani bado nakihitaji na nipo kidogo confused kwa sababu mdada nampenda ila ninataka kumuuliza ukweli wote kama atakuwa yupo tayari kuniambia A-Z maana hizi pingu za maisha ambazo mnafungwa ni noma mazee...sio za kuingia kichwa kichwa..

Asanteni

...kaka, ukifa sidhani kama utakihitaji tena hicho kiuno 'huko uendako.'
Pili, kufa ni lazima, ...umuoe huyo dada au la utakufa tu.
Ushauri wangu, fata nini roho inataka...halafu muachie Mw'Mungu na hatma yako.
 
jamani nyie ina maana yeye aliumbwa asiwe na mwenza?
Hebu mpeni ushauri wa matumani akate shauri yeye na mwenza wake wamrudie mungu yeye ni muweza wa yote

FL1 si amesema anaogopa kuvunjika kiuno ni bora aangalie ustaarabu mwingine
 
...kaka, ukifa sidhani kama utakihitaji tena hicho kiuno 'huko uendako.'
Pili, kufa ni lazima, ...umuoe huyo dada au la utakufa tu.
Ushauri wangu, fata nini roho inataka...halafu muachie Mw'Mungu na hatma yako.
The Following User Says Thank You to FirstLady1 For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
Hii inatokea sana pindi mwanamke anapo kuwa na gundu inabidi akasafishe nyota.

Kuna sehemu flani hivi kuna mwanamke mrembo kweli kweli kwenye kampuni hiyo lakini kila mfanyakazi akimtokea tu na akamega basi jamaa hana maisha marefu na kazi anaweza akadumu nae mwaka anafukuzwa kazi imetokea jamaa kibao wanao mega huyo mwanamke wanafukuzwa kazi inakuwa kama nuksi flani hivi nyota ya mwanamke huyo ni mbaya baadae ikabidi wamtimue yeye kazini hii inatokea sana

...ha ha ha, yaani hawajashtukia tu hiyo ni chakula ya bosi?
 
I support Kimbweka 100%, nenda kanisani kamweleze pastor hiyo historia, na pepo la MAUTI, VERY SIMPLE LITAISHA NA MTAISHI MAISHA MAZURI.

Huyo ni wako ndugu yangu, wewe ndiyo LANGO lake la wokovu, hata kama unaogopa we mpeleke kanisani aombewe kama ni kuachana umwache ila umemsaidia.
 
I support Kimbweka 100%, nenda kanisani kamweleze pastor hiyo historia, na pepo la MAUTI, VERY SIMPLE LITAISHA NA MTAISHI MAISHA MAZURI.

Huyo ni wako ndugu yangu, wewe ndiyo LANGO lake la wokovu, hata kama unaogopa we mpeleke kanisani aombewe kama ni kuachana umwache ila umemsaidia.

...mnh,
naona kuna dalili za mtu kugongwa na gari akitokea kanisani na kupoteza kiuno chake.
 
easy, ina maana na ujanja wako wote umemwona huyo tu? kwani ni lazima au unataka kutusumbua tu? kama unampenda kuliko maisha go for her????? na kama unaona unahitaji kuishi japo kidogo jaribu kumuepuka, maana sidhani kama utakuwa na muda wa kumfanyia research! watu wengine hawajulikani hata walipotoka, it is going to cost you a lot to digg her out to he surface!!!! Kama una muda and you reall want to get her go for it no matter what!!!!
 
Originally Posted by Fidel80
Jamaa kesha kula mate tayari hapo hakuna tofauti na yule aliye kunywa mchuzi akaacha nyama jamaa nae tutegemee kuvunjika kiuno


what !!!
 
Stranger things have happened. Could be true or not. Lkn kuna mdada namfahamu, alikuwa anapenda sana office relationships, cha kushangaza ni all men who had a relationship with her, walifukuzwa kazi - na wanasota hadi leo kutafuta kazi. Halafu she only went for married men...

Ni muhimu kujua history kabla haujaingia kwenye marriage.
 
get into deep prayers if you can!!!!!!
Na muulize akupe ukweli,mrushie swali ambalo litakufanya ujue ukweli kuhusu yeye (muangalie sana usoni mkiongea)

Then kwa point ya kwanza The Holy Spirit is faithful,anafunua mambo ya sirini ya Mungu na ya Binadamu pia,so ukiingia kiroho kabisa He is faithful (The Holy Spirit) na atakwambia una deal na mtu gani hapo.

decide wisely and all good wisdom is from God
 
tatizo dogo sana hilo njoo nikuombe mwokoke shida kwisha akuna kuvunjika kiuno ktk jina la yesu
 
SI kwamba kaumbwa asiwe na mwenza ila ni kweli kunafamilia za aina hizo, kuna wanaoitwa mlango wanane! ukimuoa tu basi unafilisika kila ulichonacho. cha muhimu ni kuendelea kuchunguza huo ukoo na kumdadisi mwenyewe pia, isije ikawa anakaushirikina pia
 
Ndugu yangu mimi naomba nikupe ushauri mmoja ingawa haujatuweka wazi juu ya hilo tatizo la mpenzi wako,mimi ningekushauri kuwa ungefanya uchunguzi wa kina kuhusu huko kuvunjika viuno kwa wanaume wote ambao walikuwa na mahusiano ya kimapenzi na huyo mdada inawezekana hilo tatizo likawa na mahusiano flani na nguvu za GIZA,pili usiwe mwepesi wa kukata tamaa kila tatizo hapa duniani lina jinsi ya kulitatua,tatu nakushauri Muombe Mungu sana anaweza kukuepusha na matatizo ya namna hiyo jambo la mwisho sikushauri uvunje uhusiano wako na huyo mdada yawezekana Mungu ndo kakupa huyo mdada na pengine hilo tatizo lililowatokea hao ndugu zetu waliokutangulia halitakupata!
 
Back
Top Bottom