Naomba munipatie mganga anayeweza kutibu maradhi ya mazingaombwe ambaye
mgonjwa huyu hataki kusema na mtu yeyote ule nyumbani hata mama ake wa kumzaa.....na vile vile na maradhi mengine
takriban nnayo mwili mzima.....na kama unavyosema ninayo na sukari na blood pressure from 2008 natumia dawa... Nakushuru sana mkuu kwa mweelekezo wako mzuri inshaalah mungu akubarik akupe
kheri yako duniani na akhera..
Regards
nasser almazrooei
Maradhi yangu ni ngozi - ambayo maradhi haya huitwa kwa jina psoriasis - niko nayo
maradhi haya muda mrefu sefu na nimeisha tumia dawa nyingi bila faida.
So naomba muelekezo..
Mimi ninayo psoriasis yaani fungers long time back lakini sijapata dawa maalum...na nahisi iko vile vile
kwani dawa aina yingi nimetumia...nipeni ushauri wa dawa nzuri ya kutumia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.