sam2000
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 567
- 402
Kwa hiyo ndege ndio hizo hizo?
BA, KLM, Swiss, KQ,Ethiopia , Air France, Lufthansa .....
Hizo za hao waarabu kamwe sitapanda na sio Mimi tu, Watu wengi wanaziogopa
Hali inatisha jamani kama ndio hivi sijui tutasafiri na nini.
Matusi ya nini ?we mburula tu huna lolote hata baiskeli uliyopanda ulipewa lift sembuse ndege?
Risk analysis muhimu. Inaweza isiwe solution ila napunguza risk mkuu.Not a solution mkuu!
Risk analysis muhimu. Inaweza isiwe solution ila napunguza risk mkuu.
Ni kawaida yake,
Paka zifike 5 ndio mambo yatakaa sawa
ntayaweza nikipata mwalimu mzuri
Mara nyingi inakuwa hivyo. ajari za ndege kuongozana isipokuwa ile ya mwaka jana ambayo ndege ilipotea na abiria wote na haikuonekana. lakini huwa zinakawaida ya kufuatana ila sio sahihi mpaka zifike tano. Air Algerie ni kweli imeanguka na abiria wote wamepoteza maisha.
Kuna kujikwaa...
Hujambo mpenzi, kumbe upo??
Muda mrefu sijakuona. Au umejichimbia katika jukwaa letu? Maana sijaingia muda mrefu kule...Heee ulizani nimepotea na ile ndege..