Huyu mwamuzii aliinyima simba penat 2 dikson job alishika mpira ndan ya box na mwamuz alkua eneo la tukio ila alikaushaa morrison alivutwa jearsy na kaseke ndan ya box ila refaa km hakuonaa n kwelii var n advanced system lakn wenzet marefa wao hawafany makosa ya kibinadam ya mara kwa maraa ...
Hii inaonesha ni jinsi gani vijana wengi wanavyokosa weledii kwenye mapenz na kinachotokea ni piga piga tu km mpira wa yangaa...
Watu wengi huamin wanapokutana na uhusiano mwingi wa mara kwa mara yaani leo upo na demu huyu kesho huyu ndiyo kujua mapenzi, wakati kumbe ndiyo wanafeli hata...
Temperature regulator ni kifaa au ni nini ungeielezea vizuri hii zaidi ili tuelewe na kazi yake ni nini kwa sababu friji yangu kwenye kupooza haina shida kabisa inapooza vizuri na pia ni kwa wakati na ninauwezo wa ku seti pia temperature ninayotaka na ikafanya kazi vizuri tu shida ni umeme hata...
Ni kweli aise hapa nimepata idea mpya ukitaka kufanya jambo kama kununua vitu ambavyo ni electronic lazima uangalie kwanza matumizi yake ya umeme...asante sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.