chollodehutch
Senior Member
- Jun 29, 2016
- 159
- 192
Wapendwa katika bwana, natumaini mpo salama kabisa.
Nina jokofu ( friji) langu kampuni ya BEKO nilinunua dukani likiwa used yaani limetumika tayari.
Shida kubwa ni linatumia umeme mwingi kupita maelezo inanibidi kwa sasa nilitumie kwa masaa baada ya hapo nilizime napata wakati mgumu sana hasa hapa ninapokaa ni nyumba za kupanga inaonekana natumia umeme mwingi zaidi.
Pia hata ile system ya kuwa standby mode baada ya kuwa limepoozesha vitu vizuri halina kwahiyo likiwashwa ndiyo hivyo hivyo mpaka ulizime na kwa wastani ukiliwasha kwa muda wa masaa 5 linaweza kutumia Units 2.50 mpaka 2.90 inamanisha kwa siku linatumia si chini ya Units 6.
Kwa mwenye uzoefu, mawazo au fundi pia nini nifanye ili kumaliza tatizo hili jamani ikiwezekana kama nitaweza kupata ile system ya standby mode nini kifanyike hapo.
Nawasilisha kwenu wanajukwaa..picha mtanisamehe
Sent using Jamii Forums mobile app