Kigezo cha kwanza uwe na leseniSasa naomba kuuliza je nit inapokea watu walio kuwa na uzoefu wa udereva kabisa au hata hambao hawajawai kuwa madereva ili nawenyewe wajifunze?
Kigezo kikuu ni leseni yenye uhai kama imeexpire unaenda TRA unatafuta learner tatizo la pale ni Interview yao unapewa mbasi mkubwa wakati umezoea kuendesha IST kama ujazoea na ujawai kuendesha magari makibwa na una uzoefu na magari hayo usiende utakuwa umewapa bule 30,000 ya interview mim nilifel interview yao ila now ni mwezi wa pili nipo na roli kubwa la mchanga natafuta experience nikijiisi nmeiva narudi tenaSasa naomba kuuliza je nit inapokea watu walio kuwa na uzoefu wa udereva kabisa au hata hambao hawajawai kuwa madereva ili nawenyewe wajifunze?
nenda NIT kasome ili upate cheti. kujiunga hawahitaji chet chochote zaid ya lesen yako.Habari zahumu ndani
Naomba msaada wa mawazo
Nina leseni daraja D E C1 C2 C3 NA E nataka nikasome maaana sikusomaga nifanyaje naanza wap hapa sielewi kila sehem napokwenda wanataka Cheti
Ninavigezo vyote Chet cha form4 kizur cha form 6 chet cha jkt nimekosa chet cha udereva sasa naazaje nianze kusomea wap
Ashnte
unatakiwa kuwa na leseni ya uderevanaomba kujua ivi ukitaka kujiunga na vip (advance driver) na umeshapita veta inatakiwa uwe na vigezo gani vingine
inapokea watu walio kuwa na uzoefu wa udereva TU.Sasa naomba kuuliza je nit inapokea watu walio kuwa na uzoefu wa udereva kabisa au hata hambao hawajawai kuwa madereva ili nawenyewe wajifunze?
tazama hapaView attachment 1532478Jamani naomba kujua hiyo Senior driving course ndyo sh ngap ,na inakuwa na madaraja mangap i?katika hyo course lakin pia inachukua mda .mana m nilikuwa natafta driving ya week 2 ,au hata 3
Kaka hiyo senior n hatar inatka uwe na vigezo: uwe na chet cha grade two &one we unavyo...?Jamani naomba kujua hiyo Senior driving course ndyo sh ngap ,na inakuwa na madaraja mangap i?katika hyo course lakin pia inachukua mda .mana m nilikuwa natafta driving ya week 2 ,au hata 3
Sasa naomba kuuliza je nit inapokea watu walio kuwa na uzoefu wa udereva kabisa au hata hambao hawajawai kuwa madereva ili nawenyewe wajifunze?
Ambao ni madereva TayariSasa naomba kuuliza je nit inapokea watu walio kuwa na uzoefu wa udereva kabisa au hata hambao hawajawai kuwa madereva ili nawenyewe wajifunze?
Experience mattersunapiga daraja moja nit. unakwenda veta unapiga lingine unakusanya vyeti kwisha habari
Haraka haraka haina barakaHellow wadau nimekua mfuatiliaji wa hichi chuo muda mrefu sana....
Elimu inayotolewa chuo cha taifa cha usafirishaji kozi fupi kwa madereva.
1. Advanced drivers grade 2 (VIP)
2. Advanced drivers grade 1 (VIP)
3. Senior drivers course.
Ningependa kufahamu ni kwanini hawaruhusu dereva kusoma kozi zote. Kwa kufuata ratiba ya kozi iliyopangwa na chuo.
Bali inamtaka dereva kusubiri mwaka mmoja. Na kisha kurudi chuoni kundelea na kozi nyingine.
Hivyo kumaliza kozi tatu ambazo jumla zina muda wa wiki 12. Inakuchukua miaka 5. Kumaliza kozi tatu tuu.
(Kwa madai ya kwamba unaifanyia kazi mwaka mmoja) Kazi mtaani hakuna hivyo unasubiri mwaka upite. Urudi kuendelea.
Ingekua pia afadhali kwa madereva kusoma kozi zote kwa mwaka mmoja. Ingepeleka pia ajira kwa baadhi ya madereva ambao vigezo hvyo ni tatizo. Na wangepata uzoefu mzuri pia. Kwasababu wamepitia shule.
Kama ni swala la uzoefu ni jukumu la mwajiri kufanya chaguzi la dereva.
-
- Kusoma na kusubiri miaka yote hyoo inakatisha tamaa sanaa...
- Allieweka huu utaratibu alikua na madhumuni gani.
- je hizo kozi ni bora kuliko masters, kwasababu kuna watu wanamaliza digrii na kuunga masters.
Nifahamisheni wapendwa.
Bob lee Swagger.
Tembelea Jukwaa La Ajira Mara Kwa Mara Unaweza Kupata Mishe. All the Best.Habari
Naitwa fadhili natafuta kazi ya udereva mpiga kazi wala sio mzembe
Msomi yupo smart mda wote tuwasiliane
0654960981
👏👏👏👏👏👏humu jf inaonesha madereva sio wengi..
Nnogeshe kidogo, mkuu hiyo vip course asikuambia mtu ina mtonyo mrefu, ww soma uhandisi weee lakini tanesco tukikutana nakuzidi mshah, kwa tanesco dereva anagonga hadi mil1.2 hawa madereva wa vip wana mawe.......ngumu kuipata lakini simple kutumbua mihela... vumilia tu mkuuu nenda kawaulze madereva wa NSSF,PSPF,TFS,TBS,DAWASCO,WIZARANI wakuambie mitonyo yao