Recent content by Chokochoko

  1. Chokochoko

    Leo najihisi "guilty" sana moyoni

    hahaha wanaume kwakugonga wake za watu mnaona haki mkigongewa wenu mitusi inawatoka ila latifaa wewe kiboko japo kupendrwaaa rahaa sana jamani
  2. Chokochoko

    Anataka nianze kuishi nae kabla ya ndoa, hivi ndoto yangu yakuvaa shela itatimia kweli?

    Mwanaume asie muoaji hata kuishi pamoja tuu huwa hakubali hata kidogo anachenga, kwanza wasiowaoaji hata kwenda kutoa posa tuu mtihani, wanaume huku ndani mnajua sana
  3. Chokochoko

    Anataka nianze kuishi nae kabla ya ndoa, hivi ndoto yangu yakuvaa shela itatimia kweli?

    Latifa ishi na huyo mwanaume kama nikweli atafata taratibu za kukuposa misimamo kwenye maswala kama hayo haifai nakwambia ukifika miaka 50 hujaolewa kila mtu atasema yake halafu utakuja kuzaa lini sasa? Perspective za watu wengine zisikufanye ukatae hao wanawake aliozaa nao sio sababu ya kuwa...
  4. Chokochoko

    Tabia hii sio nzuri kabisaa hasa kwa wanaume

    Kwakweli amenibore mno tena namkimbia kabisa
  5. Chokochoko

    Tabia hii sio nzuri kabisaa hasa kwa wanaume

    Heri ya pasaka wapendwa Naombeni kuuliza swali jepesi tuu hivi inakuaje pale mahusiano yanapoanza hata mwezi hamjafikisha mmoja anaanza kumpiga mwenzie mizinga ya kumuomba mwenzie hela mara ohh naomba uniazime 100,000 nitakurudishia keshokutwa huyo ni mwanaume mzima na akilizake, hatujamaliza...
  6. Chokochoko

    Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

    Sasa bila uchungu unazaaje?
  7. Chokochoko

    Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

    Jamani mimi sitaki kukumbuka maana nikikumbuka huwa kwanza nacheka peke yangu maana siku hiyo ilikua sinema, nakumbuka nilivyoenda hospital nikiwa najidai kweli nawaambia manesi nimekuja kujifungua wakawa wanaangaliana hee wanaokujaga kuzaa ndio wanakuwaga hivi? Wakati huo mimi nacheka cheka tuu...
  8. Chokochoko

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Mapenzi sio pesa buana
  9. Chokochoko

    Viongozi wa dini wapo salama? Mchungaji Fredy Njama, akamatwa kwa ‘Uchochezi wa Kisiasa’

    Hakuna aliyewahi kupigana na MUNGU akashinda hhaijawahi tokea
  10. Chokochoko

    Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

    Hivi huko chato kama inawezekana siwangeihamishia na bahari kabisa huko ili kuwe na bandari pia wapige dili vizuri khaaaa 26.4.
  11. Chokochoko

    Wakati mwingine huwa siyafurahii maisha ninayoishi

    Moyo wangu unaniuma sana huwa najiuliza maswali mengi na sipati jibu la kunifariji. Hivi kweli Mungu ndivyo alivyotaka iwe hivi ama? Nimetokea kwenye familia ya kawaida sana yeye single mother, sikuwahi kuenjoy mapenzi ya baba japo niliyatamani sana, sijawahi kupata mapenzi ya ndugu zangu dada...
  12. Chokochoko

    Naona kama dunia nzima imeniangukia

    Hayo ni mapito tuu, japo siyo yakushangaza sana na wala sio maKubwa sana
  13. Chokochoko

    Ndoto mbaya zinazoleta usumbufu ndotoni

    Hivi maisha yako yakoje? Maana kwahizo ndoto unazoota lazima Una pitia hard life Fulani hivi, ndoto Kama hizo hazijawahi kumuacha mtu salama. Mjue sana Mungu ili uwe na amani ila hizo video zitakusaidia ila utafute kanisa la kiroho uende udini weka pembeni.
  14. Chokochoko

    Pepo la ngono; Nashindwa kuachana na madada poa

    Huko kwa madada poa wengine sio watu ni majini kwahiyo utakua unayo yakukutosha hata hao madada poa wengi wana majini hivyo unavyotembea nao mengine yanabaki kwako utakua na matatizo mkubwa wewe hata ukioa hutaacha hiyo tabia nautakua unamdharau mkeo au hakutoshelezi haja yako hivyo ndoa yako...
Back
Top Bottom