Nawashangaa sana nyie mnaokazana kusema CDM ni chama cha kauli na hawazitekelezi hao magamba wameshawahi kukutekelezeeni mangapi? Barabara, umeme, maji, elimu, afya,maisha bora kwa kila mtanzania lipi kati ya hayo kwako limefanikiwa? Wachani kwa washabiki wakinafiki ulitaka hata akitumia gari...