Dr-of-three-Phd
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 202
- 30
Du Kumbe shida ni muda tu, ok ngoja tusubiri next meeting, hata hivyo msg sent!
Kamanda Zitto usirudi chukua hayo majina tu siye tupo!!
magamba at work.januari nimemcheki anagonga meza kafurai.
Alikuwa anatafuta tu cheap popularity!! hata hivyo amefanikiwa sana...Bado nashangaa Zito kutolijua hili kabla ya kuleta mkakati wake
Bado nashangaa Zito kutolijua hili kabla ya kuleta mkakati wake
Du Kumbe shida ni muda tu, ok ngoja tusubiri next meeting, hata hivyo msg sent!
Wekeni stori