CCM yajikanyaga kuhusu jimbo la Arusha Mjini!!

CCM yajikanyaga kuhusu jimbo la Arusha Mjini!!

Lugha za kwenye mzunguko wa mwezi hizo, hazinaga shida sana ataacha tu red ink ikimalizika!
 
Tamko lilishatoka kwa wananchi wa Arusha hata likisimamishwa jiwe Chadema na mtu maarufu CCM ndani ya Arusha jiwe litashinda tu.! Kwani huyo Chitanda akili yakeikoje?
 
Yani huyu jimama Mi cjui ana mapepo ya namna gani!

Mi ningemshauri atafute maombi popote pale alipo!
 
Hata agawe TIGO kwa wapigakura ....haiwezekani magamba yakatawala Arusha tena...
 
huku Arusha ccm ilishafutika zamani kilichobaki ni makumbusho ya magofu(majengo) tu!!Kurudia uchaguzi ni kuwabebesha mzigo tu wanainchi
 
Kweli huyu mama kalewa tena kalewa ulanzi, Arumeru alisema hivìhivi tukadhani yaweza kuwa kweli maana lilikuwa jimbo lao, sasa anaongelea Arusha kweli kalewa gongo, sijui hata hizi habari kazitoa akiwa wapi maana kama angesikika leo tungekuwa tunaongea habar nyingine juu yake.
 
Sasa napata jibu, Lema aliondolewa kwa sababu 'aliwasumbua sana' hata alipokuwa mbunge!
Mambo yao yalikuwa hayaendi tena kama wanavyotaka; nahisi yale ambayo yanalenga kumwonea mwananchi ambayo kwa hakika Lema hawezi kuyaruhusu!!!
 
Chatanda naona anaugonjwa wa usahaulifu sikutegemea kwa hali ilivyo Arusha kwa sasa anakuja na ujinga kama huu ameolewa au? maana wanawake wengi wa ccm ni malaya wakutupwa pengine kuna mtu kamtuma aongee haya ili amlizishe kwa penzi
 
waitishe uchaguzi sasa waone cha moto.......wanajifariji sio..

AR kwa CCM wasahau kuchukua jimbo hilo, pale hata CDM wakiweka jiwe na CCM wamsimamishe yoyote yule bado watu watachagua JIWE coz CCM imechokwa saaaanaaaaaa.
 
Chatanda gamba linalohitaji shoka kusafisha. Anabebwa na mbeleko la Chuma.
 
Ukishakuwa na wabunge ka Kigwangala, Chatanda, Lusinde, Maji Marefu toka kwenye chama unatajia nini? Tusubiri mbunge wa AR ndipo tutajua mbivu na mbichi za CCM na Chatanda. Arumeru Mashariki haikuwa somo la kutosheleza.


It is obvious the image of this chama is VIRTUAL,INVERTED (UPSIDE DOWN) and DIMINISHING
 
Magamba bwana! Hata sisi tukiweka jiwe wao wamweke binadamu lazma jiwe lishinde dhidi ya mtu wa ccm.
 
Kwa hali ninayoiona hapa Arusha, hata CCM wangeamua kumsimamisha Baba Wa Taifa kama mgombea wao endapo angekuwa angali hai, kulirudisha hili jimbo bado ungekuwa mtihani!

Ushauri wa bure kwa magamba wekeni negative, sio dhambi kwani magwanda watawagalaliza vibaya sana hizo fedha za campain mzitumie kwenye vikao vyenu vya chama mtafute majibu kwa nini mmewachukiza watanzania?
 
Kwa heshima na taazima namuomba Mary Chitanda afanye mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa NMC awaambie wana Arusha huu upumbavu na siyo kwenda kuyasemea Dar....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom