Nadhani hundi ambazo zinalalamikiwa nyingi ni za miradi ambayo imehodhiwa na watu wa halmshauri. Kwamba kikao masaa zaidi ya kumi huyu mkurugenzi hana kazi zingine za kufanya. Mbona hawajazungumzia hamisho dhalimu zinazofanywa na wakuu wa Idara katika jina la kurekebisha Ikama na waliohamishwa...
Kwa maoni yangu hii ni ajenda inayotaka kujengwa na watu ambayo hawataki kubwanwa. Mkurugenzi aliyepo ni mtu ambaye Yuko katika msitari ulionyooka. Ni mtu anayetaka kuona kila kinachopita kwake anahakiki na kufanya uamuzi sahihi. Shida iliyopo kwa wilaya ya Ikungi ni baadhi ya wakuu wa Idara na...
Ni kajamaa kabinafsi sana. Hata sie washikaji ambao tulikuwa tunakapa madesa kanatuona hatuna maana. Kashukuru kamwili kamejaa kidogo. Kalikuwa kembamba kama moja
Ni college mate wangu huyu kabebwa sana na mtu fulani na aliingia bungeni kwa kisulisuli cha mwendazake. Hii kuchangia jengo la chama nyonyaji cha walimu sidhani kama ni tija. CWT imekuwa kwa muda mrefu ikitumia vyombo vya kimaamuzi kutimiza maslahi yai
Na ki
Na kimsingi amekuwa ndio muandaa ilani za chama kwa muda mrefu katika chama kwa hiyo analysis anayotoa anaitoa kwa kuwa kwa muda mrefu amekuwa strategist wa chama na ni ushauri katika Hali ambayo wengine ni ngumu kuelewa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.