Recent content by Chloroquine

  1. Chloroquine

    DOKEZO RPC wa Dodoma msaidie huyu Katibu Mkuu wa Kanisa la Pentekoste, atauawa!

    Hapo nimeshindwa kabisa ku connect dot ngoja waje wengine kwa ushauri zaidi
  2. Chloroquine

    Hodii

    Karibu sana kwenye hili jamvi la habari uwe updated muda wote
  3. Chloroquine

    Naona kama mkosi Mkubwa kwangu kuzaliwa jamii ya watu weusi

    Kwanza kabisa uhai ni zawadi kutoka kwa Mungu haya mengine ni changamoto ambazo unahitaji kupambana ili kukabiliana nazo na hata kuepusha kizazi chako na hayo wewe unayoita mikosi, hata ulaya miaka hiyo waliikuta hali ngumu ila kwa nidhamu na ufanyaji kazi wao waliibadili ulaya kuiona hiyo...
  4. Chloroquine

    Ajali ya Mwendokasi yaua eneo la Urafiki

    Kwanza kabisa natoa pole kwa waliofikwa na msiba huu wa mpendwa wao, ila shida ni moja taa ya kijani inaweza kuwa imewaka kuruhusu magari mfano taa za yrafiki hapo then hapo usawa wa kilimanjaro bus watu wanavuka bila kuchukua taadhari kuwa taa zimeruhusu magari kupita likitokea la kutokea...
  5. Chloroquine

    Mpaka sasa unamshukuru Mungu kwa jambo gani kuu alilokutendea maishani mwako?

    Kwa kweli ni hii pumzi anayoendelea kunibariki nayo mpaka muda huu haijalishi tajiri au maskini wote tunafaidika nayo. Atukuzwe Mungu milele.
  6. Chloroquine

    Naomba kufundishwa mbinu za kuepuka watu wa Jumuiya na Parokia

    Hii ni rahisi sana mkuu anza na viongozi wako wa jumuia kuwaeleza huamini katika dini yoyote nao watamfikishia paroko wako na wala hutosumbuliwa tena ila shida ipo kwa mwenzi wako yeye anaendelea kuamini katika ukristo hivyo watakuja kwake tu.
  7. Chloroquine

    MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

    Dah kweli njaa zitawaua inasikitisha sana
  8. Chloroquine

    Kwanini sabuni za Zoazoa zinawasha ukeni?

    Uke hautakiwi kuoshwa kwa sabuni wala kuingiza vidole ndani utakuwa unaondoa au kuua wale bacteria wanaolinda uke (normal flora) hivyo kusababisha kupata magojwa kama fungus, bacteria infection n.k Sio salama kutumia sabuni ukeni kabisa.
  9. Chloroquine

    Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Nadhani wanazima leo saa sita usiku mkuu ndo itakuwa siku ya mwisho kati ya zile siku 20 alizotoa mheshimiwa Rais.
  10. Chloroquine

    TCRA naomba msaada wenu, nimetapeliwa mchana huu

    Pole sana mkuu nasi tumejifunza kitu hapo ahsante kwa kushare
  11. Chloroquine

    Naomba kujua tofauti ya kipawa na karama

    Neno ''Karama'' maana yake ni kipawa anachojaliwa mtu kupewa kutoka kwa MUNGU ili kipawa hicho akitumie kwa mema na sio mabaya. Neno ''Kipawa'' maana yake ni uwezo aliozaliwa nao mtu ambao humfanya mtu huyo kufanya jambo fulani vizuri.
  12. Chloroquine

    Hakika chumba cha jirani ni shida

    Duh na wewe rukia wako mkuu wasikusumbue
Back
Top Bottom