Umeandika nini sasa hapo?Talent and charisma?My guess,though.
"Sio lazima uelewe!"Umeandika nini sasa hapo?
Wito, kipaji, karama, Kipawa vinanichanganyaNimekuwa nashindwa kuelewa tofauti ya haya maneno mawili. Naomba nijuzwe utofauti wake hasa uko wapi.
Karibuni
Siku nyingine jaribu kwenda na utaratibu kiingereza kiswahili kama hajui kiingereza umemsaidia nini?"Sio lazima uelewe!"
Neno ''Karama'' maana yake ni kipawaNimekuwa nashindwa kuelewa tofauti ya haya maneno mawili. Naomba nijuzwe utofauti wake hasa uko wapi.
Karibuni
Minikajua kipawa ya gomsNimekuwa nashindwa kuelewa tofauti ya haya maneno mawili. Naomba nijuzwe utofauti wake hasa uko wapi.
Karibuni
Huyu bujibuji ndo yule anapenda kitimoto na 7up? Au Bujibuji Simba Nyanaume ni mgeni humu?Wito, kipaji, karama, Kipawa vinanichanganya
ZimwiHuyu bujibuji ndo yule anapenda kitimoto na 7up? Au Bujibuji Simba Nyanaume ni mgeni humu?
Kuna kipaji ni ukoo mmoja na haoNijuavyo,
Kipawa = uwezo,
Karama = zawadi/tunu.
(Kurekebishwa ruksa)
Unatuchanganya... Karama na kipawa ni vitu viwili tofauti....Neno ''Karama'' maana yake ni kipawa
anachojaliwa mtu kupewa kutoka kwa MUNGU ili
kipawa hicho akitumie kwa mema na sio
mabaya.
Neno ''Kipawa'' maana yake ni uwezo aliozaliwa
nao mtu ambao humfanya mtu huyo kufanya
jambo fulani vizuri. Zote hizi ni talanta/uwezo/zawadi lakini tofauti lines unaona ikishakuwa karama tayari inatumika kwa mema/kutangaza neno la Mungu. Inaweza kuwa kipawa cha kuimba unacho lakini ukianza kumwimbia Mungu hiyo inakuwa ni karama tena takatifu. Karama kama ilivyo kipawa/kipaji huendelezwa na inaweza kufa kama haitumiki
Kirama huendana na mambo ya kiroho zaidi na kipawa huwa pande zote kimwili na kirohomuulize mshana jr,ndo sekta zake hizo.