Recent content by chizi1

  1. chizi1

    Lowassa: Mkapa alikuza uchumi, JK punguza matumizi

    mi naomba ndugu zangu, niko mbali.. mtakao angalia, mtuelezee ni nini ataongelea then ndo nitatoa maoni
  2. chizi1

    Kikwete kilimo kwanza, Lowassa elimu kwanza!

    mbowe alianza na elimu kwanza juzi jamani. huyu jamaa, embu angalieni hii clip ya youtube. ilikua ndo Agenda na priority ya nchi hii.. siku izi naona priority ni kusafiri kwenda nnje wakati walimu wanagoma.. :loco: Edward Lowassa - YouTube
  3. chizi1

    Nini kitatokea nchini ili rais asitishe ziara?

    rais hajali tena..ile move ya kuja kwenye msiba wa kanumba ni kutafuta huruma kwa wananchi waliokuwa wengi..this guy dsnt give a damn, wala hashtushwi. viongozi wa nnje wakiwa na crisis ya kiasi hiuki,wanakubali kujiuzuluj na kupisha wengine..sisi wa africa tunang'ang'ania tu..
  4. chizi1

    (PICHA) Lowassa atua Arumeru kwa kishindo: Chadema waparaganyika

    lowassa aja arumeru na kupokelewa na pikipiki zaidi ya 100, magari zaidi ya 50, mabus na malorry.. watu wanashangilia na kupiga kelele kama lowassa ndo mgombea,huku arumeru hakutoshi, barabara zimefungwa, ameingia kwa aina yake. lowassa ameingia jukwaani na kukishukuru chama, viongozi wa chama...
  5. chizi1

    Mhe Lowassa azungumza na waandishi, asema yupo 'fit'

    Humu ndani naona mnataka sana awe rais. Kwani mi naomba niulize, huyu mzee c mbunge? C mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na mambo ya nnje?kiongozi wa wamasai? C ana mke na watoto? Na wajukuu? Na biashara yake? Kwani hizo sio kazi mpaka iwe urais tu ndo awe anaongelea
  6. chizi1

    Mhe Lowassa azungumza na waandishi, asema yupo 'fit'

    Tehe-teh- tehe- kwa lowassa poa tu. Karibu baba sharon tukupe na wewe kanga moja, acha wivu. Ningeomba tuwe wa kweli humu ndani, habari za unafiki sio nzuri.
  7. chizi1

    Mhe Lowassa azungumza na waandishi, asema yupo 'fit'

    Baada ya press, akawakaribisha waandishi kwenye shughuli ya kanisa ifakara jumapili. Kazi kwenu
  8. chizi1

    Mhe Lowassa azungumza na waandishi, asema yupo 'fit'

    Humu ndani mlitusumbua sana tukafunga safari tukijua amepata stroke.tukaenda hadi kwake
  9. chizi1

    Mhe Lowassa azungumza na waandishi, asema yupo 'fit'

    Lowassa amekanusha habari zote za uongo, asema yuko fiti na anaendelea vizuri, aeleza alifanyiwa operation miaka iliyopita akashauriwa awe anafanya check up kila mara vile vile amefanya check up zingine zote pamoja na moyo na yuko mzima. Anawashukuru wote waliotuma message na kumuweka kwenye...
  10. chizi1

    Mhe Lowassa azungumza na waandishi, asema yupo 'fit'

    Lowassa amekanusha habari zote za uongo, asema yuko fiti na anaendelea vizuri, aeleza alifanyiwa operation miaka iliyopita akashauriwa awe anafanya check up kila mara vile vile amefanya check up zingine zote pamoja na moyo na yuko mzima. Anawashukuru wote waliotuma message na kumuweka kwenye...
  11. chizi1

    kikwete ongea na watendaji sio wazee!!!

    Ndio sikatai ilikua tangu enzi za mwalimu, alikua akiongea na 'wazee wa dar es salaam' na kwa jambo lolote kubwana tz, lilikuwa linapitia kwa hawa wazee. Na imekua mfano kwa viongozi waliofuata mpaka sasa. Lakini mda sasa umebadilika, enzi za mwalimu, wazee hao ndo walikua wakisambaza news nchi...
  12. chizi1

    Edward Lowassa aumbuka Arumeru Mashariki

    hahaha..nimependa ulivyomjibu kwa iyo picha..hahahaha
  13. chizi1

    Edward Lowassa aumbuka Arumeru Mashariki

    hahahaha.. kwa kweli nimeamini na sasa namkubali lowassa fuluu. yaani akiwekwa tu, lazima ukute page 5-10. kweli jamaa ni tishio kubwa sana, sio bure huyo rais/mwenyekiti wa chama anakosa usingizi akimfikiria lowassa. humu ndani nimeshaona watu wengi sana wanamkubali, nilitegemea leo mngechambua...
  14. chizi1

    'amka program set to boost women economy'

    'teri believes that rural women stand a better chance to raise their social and economic status if they are empowered wih information on how they can effectively utilize the opportunities around them' source 29 february 2012.'The african' page 17. apparently its an NGO that is using a radio...
  15. chizi1

    JK: Hatutaki Rais mzee 2015

    lakini mi namshangaa mwakyembe. kama kweli amelishwa sumu mbona hasemi wazi na aseme ni wakina nani wamefanya ivyo? mbona story zinapishana.. mi nashindwa kuelewa mwakyembe? sitta? nahodha? naona wanapeleka nchi pabaya, isimwe moja na iwe once and for all. wanasemana utafikiri hawapo serkalini...
Back
Top Bottom