Mhe Lowassa azungumza na waandishi, asema yupo 'fit'

Tehe-teh- tehe- kwa lowassa poa tu. Karibu baba sharon tukupe na wewe kanga moja, acha wivu. Ningeomba tuwe wa kweli humu ndani, habari za unafiki sio nzuri.
Tena acha masihara wewe kanga moja mi ya nini wewe..............we gongwa kivyako bana
 
Lowassa amekanusha habari zote za uongo, asema yuko fiti na anaendelea vizuri, aeleza alifanyiwa operation miaka iliyopita akashauriwa awe anafanya check up kila mara vile vile amefanya check up zingine zote pamoja na moyo na yuko mzima. Anawashukuru wote waliotuma message na kumuweka kwenye maombi, anashukuru maaskofu na mashehe walimuweka kwenye maombi, asisitizia yuko tayari kwa kazi zote na anaendelea vizuri.

Amekanusha kuongelea hali ya siasa arusha.


Mungu akubariki lowassa..

Haya waongo kanusheni sasa

Hata Urais?
 
Unataka wakanushe nini sasa, halafu sio uongo, wewe ndo unataka kutuletea uongo hapa, kwani huyo babu yako haumwi kweli?
Kikwete anamzidi Lowasa miaka m3 tu lakini babu yako lowasa ameezeeka utadhani nalingana umri na jaji Warioba.

Kubali ukatae Lowasa ni mgonjwa, yeye ni binadamu kama wengi so kuugua ni kawaida sana

Nkusahangaa unatete upuuzi

Siasa za Africa ni very delicate.
Sio good idea kuwa na rais atakayefia state house.
Transition inaweza kusumbua wanaobaki.
Akubali yaishe
 
Humu ndani naona mnataka sana awe rais. Kwani mi naomba niulize, huyu mzee c mbunge? C mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na mambo ya nnje?kiongozi wa wamasai? C ana mke na watoto? Na wajukuu? Na biashara yake? Kwani hizo sio kazi mpaka iwe urais tu ndo awe anaongelea
 
Siyo humu jamvini tu, ana mashushushu kuanzia vyumbani, bafuni, sebuleni, uvunguni, verandani, uani, mitaani, barabarani, maofisini, makanisani, misikitini, vijijini, mijini, ndani ya Bunge, ndani ya baraza la mawaziri, ndani ya CCM, Chadema, CUF, NCCR, UDP, TLP, ndani ya Serikali, Ikulu, TISS, Polisi, JWTZ, ndani ya nchi, nje ya nchi, LITERALLY KILA MAHALI. We lia tu!

You are well informed.
This means what?
 
anawashukuru maaskofu mashekh lini walituma salamu za kumwombea uzima....au amegundua ndio kwa kutokea...na huo upasuaji alipasuliwa nini na lini na kwanini...na nani alemuuliza kuhusu ugonjwa wa moyo au anajihisi.!!!
 
Lowassa amekanusha habari zote za uongo, asema yuko fiti na anaendelea vizuri, aeleza alifanyiwa operation miaka iliyopita akashauriwa awe anafanya check up kila mara vile vile amefanya check up zingine zote pamoja na moyo na yuko mzima. Anawashukuru wote waliotuma message na kumuweka kwenye maombi, anashukuru maasjofu na mashehe walimuweka kwenye maombi, asisitizia yuko tayari kwa kazi zote na anaendelea vizuri.

Amekanusha kuongelea hali ya siasa arusha.

Mungu akubariki lowassa..

Haya waongo kanusheni sasa


Alipita kunywa kikombe kwa TB Joshua?
 
hivi kweli huyu kaka hakuwa na mkapa kwenye
mkakati wa kumwondoa mwl. simpendi tena hata yeye.
 
Lowassa amekanusha habari zote za uongo, asema yuko fiti na anaendelea vizuri, aeleza alifanyiwa operation miaka iliyopita akashauriwa awe anafanya check up kila mara vile vile amefanya check up zingine zote pamoja na moyo na yuko mzima. Anawashukuru wote waliotuma message na kumuweka kwenye maombi, anashukuru maaskofu na mashehe walimuweka kwenye maombi, asisitizia yuko tayari kwa kazi zote na anaendelea vizuri.

Amekanusha kuongelea hali ya siasa arusha.

Mungu akubariki lowassa..

Haya waongo kanusheni sasa

Mmmmmmmmmmmmm,haya.WE WISH HIM THE BEST

mficha uchi hazai.
 
Humu ndani mlitusumbua sana tukafunga safari tukijua amepata stroke.tukaenda hadi kwake

Nahisi nawe unaumwa, tuliwasumbua au alikua anaumwa kweli? Acha unafiki bana, acha kuwa mtumwa wa fikra, jipambanue na ujielewe. Hayo magamba hayana common friend bali yana common interest siku interest kwako ikiisha nawe umekwisha. Think big, utapotea

 
Back
Top Bottom