Recent content by Chiwata

  1. Chiwata

    JamiiForums Tanzania Most Powerful Militaries in Africa

    Sitaki kuamini kama hili jeshi nalo huitwa powerful. Isingewezekana kwa hali yeyote JWTZ wakae pale Westgate siku nne!
  2. Chiwata

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari, CHADEMA ni taasisi

    Vizuri......
  3. Chiwata

    JamiiForums Tanzania January Makamba apewa makavu live na Lady Jay Dee

    Yeye alitukanwa na nani wakati anawekwa mjini na Ruge? Kwann leo kwsb eti yeye ana beef na jamaa anataka kila mtu awe mfuasi wake!
  4. Chiwata

    JamiiForums Tanzania January Makamba apewa makavu live na Lady Jay Dee

    Tatizo tofauti ya shule.....
  5. Chiwata

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa

    Kesho ndio hii...
  6. Chiwata

    JamiiForums Tanzania Mgogoro huu unaendelea chadema ivi yuko wapi dk.slaa akiwa kama katibu mkuu..ana kauli gani

    Kumbe kufanya press conference ni akili dogo? Kwahiyo Lissu,Mbowe,Mnyika hawa ni akili ndogo. Nasikia na leo wameita waandishi pale kinondoni.
  7. Chiwata

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

    Hamna anaepambana na wewe jibu maswali yangu #AchaSound
  8. Chiwata

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yaitisha Mkutano na waandishi wa Habari leo Jumapili

    Ukisoma vzr nilichoandika nimesema ''kama ni kweli'' sasa taarifa nilizonazo (inawezekana si zakweli) zinasema hivyo. Anyway ngoja tuone
  9. Chiwata

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

    Kwahiyo Mtei aliendelleza tu?
  10. Chiwata

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Monduli asimamishwa uongozi mara moja

    Double standard......
  11. Chiwata

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

    Hili limeasisiwa na mzee Mtei rejea tamko lake juu ya wajumbe wa TUME YA KATIBA!
  12. Chiwata

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

    Umeonaeee
  13. Chiwata

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yaitisha Mkutano na waandishi wa Habari leo Jumapili

    Ushauri mzuri.....
  14. Chiwata

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yaitisha Mkutano na waandishi wa Habari leo Jumapili

    Tuliambiwa mjadala wa kina ZZK umefungwa, lakini leo wameita waandishi kinondoni..... Hii ni hatari sana kwa mstakabali wa chama! Hakika wenye nia mbaya na chama lazima watafurahia kinachotokea leo cdm. Binafsi niliona hekma za katibu mkuu aliposema mjadala wa Zitto umefungwa, lakini kama...
Back
Top Bottom