Jino Kwajino
Senior Member
- Dec 22, 2012
- 191
- 39
Maranyingi waaandishi na wahariri wa kibongo wanaandika na kuhariri habari na minong'ono ya vijioweni badala ya kuandika habari za kiuchunguzi. Huu ndio tunauita ukasuku katika habari. Hawa ni mzigo kwa taifa linalopambana kujikomboa kiuchumi, kisiasa na kiustawi wa jamii.