Recent content by Chimbuvu

  1. Chimbuvu

    Akasema ......Nimepoteza mpenzi wangu

    Shikamoo seye seyeee... Nimepoteza kipenzi changu hapa Tanzania. Nimepoteza mkanda wa kiuno nitarudi nitafutieni icho (Sio almasi, Sio dhahabu ni ishara ya usajili jina lake Hidaya hidaya hidayaaa) Nimepoteza kipenzi changu hapa Tanzania. Nimepoteza mkanda wa kiuno nitarudi nitafutieni icho (Sio...
  2. Chimbuvu

    TANZIA Hidaya wa Pepe Kalle afariki dunia jijini Arusha

    Lololo alikuwa jirani yangu kule kwenye mji wa copper, tulikuwa tunapata breakfast paris france, lunch dinner London, uk. Kulala africa
  3. Chimbuvu

    Akasema ......Nimepoteza mpenzi wangu

    Nitarudi nitarudiii
  4. Chimbuvu

    Nina wazo zuri la kipindi cha Televisheni ambacho naamini kitakuwa na watazamaji wengi siku moja kwa wiki. Je, nifanyeje kuuza hii idea?

    If wishes were horses even beggars would ride. Kama mawazo yangekuwa Benz basi hata ombaomba wangeendesha.
  5. Chimbuvu

    APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

    If wishes were horses even beggars would ride.
  6. Chimbuvu

    Agriculture Project Consultant- Dar es salaam, Tanzania

    Company ; Maclesence investment company ltd Location; Dar es salaam, Tanzania Employment Type: Part Time(2 Months) Positions: (4) 2-5 years’ experience in Private sector strategic planning and policy for key sectors including agriculture, logistics, and transport. Demonstrated ability (with...
  7. Chimbuvu

    Maoni yangu kuhusu "vita" kati ya Marekani dhidi ya Korea Kaskazini

    Ulishawahi sema kuhusu propaganda za vita, Korea kusini waliyokuwa wanahubiri kwenye vyombo vya habari kuwa ni nchi masikini, ulipoangalia kwao uliona ni sawa na wanavyoisema ama kuichafua kama ilivyo desturi ya propaganda? na pia utategemea maadui zake wasifie makombora hayo ilhali juzi...
  8. Chimbuvu

    Maoni yangu kuhusu "vita" kati ya Marekani dhidi ya Korea Kaskazini

    Pale utakapoona sijui aircraft carrier, sijui Korea kusini wamepigwa katika gridi ya umeme ndio utajua nini maana yake. Kama hadi Queen Elizabeth ameonya kuhusu kuzuka kwa WW3. Hii ni hatari ndugu, war can happen anytime labda kama hujui propaganda huwa zinakwendaje kabla ya nchi kupigana...
  9. Chimbuvu

    Msaada kuhusu kuanzisha biashara ya matunda na mboga mboga!

    ndio unalipia dola 100, psytosanitary certificate na pia fumigation inafanyika hapo airport.
  10. Chimbuvu

    Msaada kuhusu kuanzisha biashara ya matunda na mboga mboga!

    kuna certificate ya afya kuipata ni dola 100
  11. Chimbuvu

    Msaada kuhusu kuanzisha biashara ya matunda na mboga mboga!

    mi naexport matunda, kwa ndege 5usd/kg na packaging za mabox kiwanda kipo nyerere road, huwa natoa oda ya carton za box mill 7 hadi 20 ili gharama iwe chini. so wana MOQ yao kiwandani pamoja na branding.All in all hakikisha hao watu isiwe mali kauli, washaniliza mwanzoni. so hakikisha wanatumia...
  12. Chimbuvu

    Ifuatayo ni kamati ya harusi yangu mm p.l na huby wangu ruttashobolwa!

    Maana mwenye ubavu huo ni Madame B aisee, tulishafungiwa enzi hizo na kina Baba V
Back
Top Bottom