Recent content by Chimamiroby

  1. Chimamiroby

    Kitete Hospitali Tabora wameniulia mtoto wangu kwa uzembe

    Nakuelewa sana kwacbabu km mtt alikuwa vizuri mpk dakika ya mwisho na hata nesi hakuona dalili yyt ya kusababisha mtt azaliwe mfu nakubaliana na wewe kuwa kulikuwa na uzembe wa hali ya juuuuuu. Manesi wengi hawajali roho za watu haswa wa goverment hospital. Nikushauri kakaangu mshukuru MUNGU...
  2. Chimamiroby

    Kitete Hospitali Tabora wameniulia mtoto wangu kwa uzembe

    Yehova Yire, Walitoa sababu inayoeleweka kilichosababisha mtt kufa?
  3. Chimamiroby

    Rushwa kwa Matrafiki yapata mbinu mpya

    Mh kinachokufanya usiamini ni nn ni kweli mm naishi kigamboni naona hilo jambo kila siku iendayo kwa MUNGU
  4. Chimamiroby

    Rushwa kwa Matrafiki yapata mbinu mpya

    Mbn hiyo tokea siku nyingi kaka yaani pale trafiki mweusi anavaa miwani anajikusanyia hela taratiiiiiibu kila siku kila daladala inayotoka k'koo, mnazi, muhimbimili na kivukoni lazima zitoe buku 2 kwa yule kaka ila km umeandikiwa cheti hawatoi tunawaambia lkn wnasema hawana la kufanya
  5. Chimamiroby

    Binti kaa mbali mita thousand hili goma la machizi nisijeonekana natafuta kiki

    Watoaji wa kutoa bikra na kuacha nai wanaume na umemtoa mtu bikra yake ukamuacha alfu unategea utakuta wife wako ana bikra inakuwaje. Ccht utakachompimia mwenzio
  6. Chimamiroby

    Stori ya kusisimua - Taxi

    Eeh kumbe imeisha nillkuwa naangalia chini km inaendelea sikuona neno TAMATI
  7. Chimamiroby

    Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

    hayo mabus labda ya uko kwenu ndo yamechoka kutokana na umbali wa safari, DAR LUX za kwenda moshi/arusha ni noumaaa yana bei ya juu lkn ni shidyaaa yanapendwa na watu haswa na ukipata unafika kwa muda mzuri
  8. Chimamiroby

    Mtandao wa Airtel ni wazushi

    Mh kwa airtel sijawahi pata shida yyt kwa kweli nijuavyo tigo ndio kuna izo mambo
  9. Chimamiroby

    MC Pilipili amlilia mkewe kwenye kipindi cha Zamaradi | Ni sahihi Mwanaume kumlilia mkeo hadharani?

    Watu hawajui kwann kaka amelia ila namuelewa huyu jamaa atakuwa alikuwa mchezaji mzuri sana ila amefika kwa bi dada akafanya ujinga mwingiiiii bi dada akavumilia na kumsaport kwa kila njia na amevumilia amesamehe na csa ypo kuendelea kumpa support mzee baba, csa mzee baba swali limemlenga pale...
  10. Chimamiroby

    NAJUTA: Ningejua nisingesoma huu uzi wa mwathirika, nimechanganyikiwa, tunauana humu ndani

    Chizi Maarifa, Csa uli risk maisha yako mwnyw alafu unamtupia lawama mwingine duh hatareee kumbe wewe ndio mchafuzi mkubwa lkn unaoa mwenzio ndo mbayaaaa duh
  11. Chimamiroby

    Abiria wanusurika kifo baada ya kulishwa biskuti zenye dawa za kulevya

    hao waliopewa ni wadada? au basi tu utamke wadada/wanawake?
  12. Chimamiroby

    Naomba kujua namna ya kujibu swali "tell us about yourself" wakati wa usaili

    Asante na mm umenisaidia ubarikiwe sana wengi hatujui hili
  13. Chimamiroby

    Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

    kumbe ndio maana magari madgo yanapata sana ajali wkt wa usiku nimeshajua ni ligi ndio linawamaliza vijana wengi na ujinga mwingi sasa hapo mngetoana meno csa ivi mngekuwa mnaonewa huruma dah
Back
Top Bottom