Rushwa kwa Matrafiki yapata mbinu mpya

Rushwa kwa Matrafiki yapata mbinu mpya

nishamatwa sana bahi, ukitembea na 49 unaambiwa 59 yaan ktk kibao cha 50 tembea na 30 wakat huo unaenda Goma sasa hiyo 30 ktk kila kibao cha 50 utafika lini? hawa jamaa nawachukia sana sasa kuna siku wamenisimamisha niko na 30 nikasema leo wananitafta shar lakini bahat wakawa wanaomba lifti. nikawabeba waliikuwa wanarudi dodoma mm kama kawaida nikaanza kutembea na 30 wamevumilia ule mwendo mwisho kile kidada kikasema hii gari mbovu? nikamwambia nzima, wakasema sasa mbona hutembei nikamwambia kuna tochi mbele akasema we tembea na mia nikamwambia njoo uendeshe wewe nikamsindikiza na tusi..alaf ndio nikamtolea vikaratasi vi nne ambavyo vyote ni yeye ndio aliniandikia fine nikamwambia kama kuna mtu nataman atangulie mapema kufariki ktk dunia hii ni yeye na kisha nikasimamisha chuma nikamshusha, yaan nilimwambia tu kirafiki naomba ushuke na usije kuizoea hii gari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapingana na agizo la mkuu? Tuanzie hapo kwanza..., maana ile si ni dawa ya kung'arishia viatu tu?
 
nimecheka kwa sauti we noma na nusu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
wanaudhi sana ndugu yangu alaf hawana aibu, kuna siku pia gari ilikuwa inanisumbua busta zinajijaza za diff sasa wakati nashuka sekenke chuma ikawa inapiga mateke yaan nashuka huku natumia break za trela sasa pale wanataka upande na 30 ama ushuke na 30 mm gashuka huku naona mwenzangu aliyenipita nikiwa misigir pale kishachochora, bas nikashuka hivyo hivyo mungu nisaidie mpaka nikaumaliza mlima nikapaki nikamwaga upepo chuma ikatembea ila nikajua tuu kwa harakat zile nikifika shelui lazma kuna tochi, kweli nafika pale nawaona walee kamoja kanatoka chini ya mti kanajivuta road nilikuwa umbali kama wa mita 150 hiv ama mia 200 nikapaki pembani, nikashuka na jamvi langu nikatandika chini ya trela nikalala yaani nikasema hapa stoi gari mpaka wasepe hiyo tochi watachunga nayo mi sina haraka ka jamaa kamekaa pale mpaka mwisho wanaondoka wakaja niambia mzee tumekubali show yako na mm nikawaambia pesa inataftwa wazee.nyie nendeni na mimi niendelee na safari siwapi hata mia..lakin nilikaa pale masaa ma4.
 
Habari ya Saizi Wakuu,

Leo nimeshuhudia njia mpya ya upokeaji rushwa kwa trafki maeneo ya pale Goldstar ambapo ujenzi wa SGR unaendelea.

Wakati nimefika pale kituoni asubuhi ya saa 1 nikiwa nasubiri daladala za kwenda G.Mboto nilikuta kituo kina raia mmoja tu ambae nae anaonekana sio mtu ambae anasubiri gari. Upande wa pili (kama mita 3 hivi) kulikuwa na trafiki anaongoza magari.

Sasa katika muda niliokaa pale nikawa nashangaa huyu jamaa ambae nimemkuta kituoni anapokea hela kwa kila daladala inayopita, yaani daladala zote zinazotokea Mnazi Mmoja lazima zipitie kituoni hapo halafu wanampa hela huyo jamaa kwa njia fulani hivi ya kisiri siri then daladala linaondoka.

Nikasema ebu ngoja nitulie kidogo nione kwanini wanampa hela. Baada ya muda nikaona anapokea simu, katika kuchunguza nikagundua kuwa alikuwa anaongea na trafiki yule ambae yuko upande wa pili (nahisi hapa kuna ishara alimpa ) maana gari iliyofuata haikutoa hela nikagundua kuwa trafiki yule anakula rushwa lakini mpokeaji ni huyo kijana aliyekuwa kituoni

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mbn hiyo tokea siku nyingi kaka yaani pale trafiki mweusi anavaa miwani anajikusanyia hela taratiiiiiibu kila siku kila daladala inayotoka k'koo, mnazi, muhimbimili na kivukoni lazima zitoe buku 2 kwa yule kaka ila km umeandikiwa cheti hawatoi tunawaambia lkn wnasema hawana la kufanya
 
Tupatie na kapicha kudhibitisha hilo. Pia siwezi kuamini maneno yako yani kwa Jiji la Dsm kituoni mlikuwepo wawili tuu, !? Kwa maana nyingine kama huyo kijana asingelikuwepo hapo ina maana wewe ndo ulikuako kituoni peke yako kitu ambacho mimi nita tafsiri kama wewe bila shaka wewe ni mwanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mh kinachokufanya usiamini ni nn ni kweli mm naishi kigamboni naona hilo jambo kila siku iendayo kwa MUNGU
 
Tupatie na kapicha kudhibitisha hilo. Pia siwezi kuamini maneno yako yani kwa Jiji la Dsm kituoni mlikuwepo wawili tuu, !? Kwa maana nyingine kama huyo kijana asingelikuwepo hapo ina maana wewe ndo ulikuako kituoni peke yako kitu ambacho mimi nita tafsiri kama wewe bila shaka wewe ni mwanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe lazima utakuwa ni huyo trafiki au huyo kijana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanaudhi sana ndugu yangu alaf hawana aibu, kuna siku pia gari ilikuwa inanisumbua busta zinajijaza za diff sasa wakati nashuka sekenke chuma ikawa inapiga mateke yaan nashuka huku natumia break za trela sasa pale wanataka upande na 30 ama ushuke na 30 mm gashuka huku naona mwenzangu aliyenipita nikiwa misigir pale kishachochora, bas nikashuka hivyo hivyo mungu nisaidie mpaka nikaumaliza mlima nikapaki nikamwaga upepo chuma ikatembea ila nikajua tuu kwa harakat zile nikifika shelui lazma kuna tochi, kweli nafika pale nawaona walee kamoja kanatoka chini ya mti kanajivuta road nilikuwa umbali kama wa mita 150 hiv ama mia 200 nikapaki pembani, nikashuka na jamvi langu nikatandika chini ya trela nikalala yaani nikasema hapa stoi gari mpaka wasepe hiyo tochi watachunga nayo mi sina haraka ka jamaa kamekaa pale mpaka mwisho wanaondoka wakaja niambia mzee tumekubali show yako na mm nikawaambia pesa inataftwa wazee.nyie nendeni na mimi niendelee na safari siwapi hata mia..lakin nilikaa pale masaa ma4.
Show ya kibabe hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa dawa yao ni mzee wetu anaitwa mzee Ndevu yeye huwa anaendesha chuma yuko UCHI jua likuwa kali, huwa anasimamia mbali kidogo wakisogelea chuma huwa wanakawaida ya kufungua mlango kama gari ya babaake sasa akifungua anakutana na mkuyenge umejaa mvi hivi wanamjua huko njiani wakimuona wanatabasamu tuu..kisha dingilai anapita na zake
 
Kuna yule trafic anakaa pale external kweny mataa, anajificha na kofia yake,kuna sku nilipita taa ya njano ,akanidaka pale nikabishan nae mwshon nikatoa lesen chini nikaweka buk5,ahahaha yakaisha, na kila sku namuona pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupatie na kapicha kudhibitisha hilo. Pia siwezi kuamini maneno yako yani kwa Jiji la Dsm kituoni mlikuwepo wawili tuu, !? Kwa maana nyingine kama huyo kijana asingelikuwepo hapo ina maana wewe ndo ulikuako kituoni peke yako kitu ambacho mimi nita tafsiri kama wewe bila shaka wewe ni mwanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa unapajua anapoongelea mtoa mada usingepinga. Sisi tunaojua hicho kituo tumeelewa
 
Kuna trafiki anaendeshaga pikipiki ya msafara, kabla hujafika vingunguti ukitokea lamboto, tupo na madaladala (eitcher) tumepita tu mataa ya jet tumetanua zetu magari zaidi ya 15. Akatukamata kila gari anachukua leseni na anaagizia tuende pale kwenye post yao ya kibanda, ukifika pale unaacha sh.10,000 unachukua leseni na motooo!

Nyie wenye private car ndo mnalalamikia rushwa, sie wenye gari za kazi tunapenda waendelee kupokea rushwa ili mambo yetu yaende! Ukifuata sheria za barabarani badala ya kwenda trip 6 mawasiliano_lamboto, unaenda tano tuu!
Hupati hela"

Endeleeni kulalamika!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupatie na kapicha kudhibitisha hilo. Pia siwezi kuamini maneno yako yani kwa Jiji la Dsm kituoni mlikuwepo wawili tuu, !? Kwa maana nyingine kama huyo kijana asingelikuwepo hapo ina maana wewe ndo ulikuako kituoni peke yako kitu ambacho mimi nita tafsiri kama wewe bila shaka wewe ni mwanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa taarifa yako huyo alikuwa anaelekea Gmboto na ni asubuhi! halafu yupo goldstar ni kawaida tu!! ila ingekuwa kuanzia saa tisa!!!!! hata mie nigekuunga mkono au hata kigaja
 
Utakuwa raia mwema na utaindendea haki nchi yako na Mungu atajivunia kukuumba na kukufanya kuwa mTanzania kama utawasiliana na TAKUKURU uwaambie mchongo mzima. Hiyo siri ukikaa nayo moyoni hadi kifo chako huko mahali pema utaulizwa kwanini ulificha huo uovu.
 
Back
Top Bottom