Recent content by chilundu

  1. chilundu

    JamiiForums Usiku wa manane

    Huu Uzi nilianza kuchangia nikiwa namaliza chuo miaka 10 iliyopita mpaka sasa Bado unaishi ,this shit is timeless 😀
  2. chilundu

    Wenzetu wanaoenda Israeli kujifunza Kilimo wananatekelezea wapi kwa vitendo tukajifunze?

    Pia nko tayari kukuunganisha nao hawa wawili wa kondoa ni rahisi zaidi kuanza nao sababu wana program ya kupokea wageni mashambani na kiwandani kwao wanakotengeneza wine ….Hawa wawili wengine nafanya nao mawasiliano nione kama watakua tayari.
  3. chilundu

    Wenzetu wanaoenda Israeli kujifunza Kilimo wananatekelezea wapi kwa vitendo tukajifunze?

    Boss binafsi nawafahamu 4 ambao nilikua nao intake moja pale SUA ,wawili wapo kondoa mmoja ana kiwanda kidogo cha wine kashirikiana na kondoa dioces ,mwingine ana mashamba ya mazao tofauti pale kondoa..mmoja yupo arusha ana mradi mkubwa wa kuku wa mayai na nyama ,wa mwisho yuko pwani ana project...
  4. chilundu

    Interview ya Afisa Kilimo nitarajie kuulizwa nini?

    Bro umesoma horticulture,agri general au agronomy?
  5. chilundu

    Njoo tulime kilimo cha umwagiliaji

    Eneo lako linastawi mazao gani?chanzo cha maji ulichonacho ni kipi?
  6. chilundu

    Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

    [emoji120].
  7. chilundu

    Tuwafahamu Matajiri Maarufu wa mikoani

    Naona unapambana na allien
  8. chilundu

    Ipi ni bora kati ya Subaru forester (Isiyo na turbo) na Volkswagen Tiguan, zote za 2010?

    Tiguan all day everyday,ninayo mwaka wa 2 sasa naitumia sana offroad (90% ya matumizi yangu) kulingana na mazingira nilipo(mkoa wa rukwa) na hainiletei shida,japo huku niliko spare zote naagiza dar.
  9. chilundu

    Kisiju mkoani Pwani watu wanaswali kuliko kazi

    Ko sumbawanga wazee wa makanisa ndo wachawi wenyewe?[emoji23][emoji23]
  10. chilundu

    Nipo ugenini, wanapika chakula kidogo mno

    Aisee,[emoji1][emoji1][emoji1]
  11. chilundu

    Infinix note 11 yapokea update ya android 12

    Sawa mkuu,ila sikutegemea hawa jamaa kutoa update ya android kwenye simu zao
  12. chilundu

    Infinix note 11 yapokea update ya android 12

    Ndio hii ni mojawapo ya flagship zao za mwaka Jana.
  13. chilundu

    Infinix note 11 yapokea update ya android 12

    Katika Hali isiyotegemewa hawa jamaa wa simu za Infinix wameamua kuanza kutoa update za operating system nadhani hii inawezekana ikawa mara yao ya kwanza ,mfano ni hii simu yao Infinix note 11 imepokea update ya android 12...Je,hii inaweza kuwa mwanzo wa maboresho ya hizi simu zao za mitikenga...
Back
Top Bottom