We Macho mlendemko hebu jaribu kutofautisha mambo badala ya ku-generalize issues, matusi ya Lusinde haya influence chochote kwenye hukumu ya Lema, na nnashangaa kuona mnadai hapa ushaidi wa Lema kama alituka kweli au la hali mnajua kabisa Lema alimshambulia mgombea wa CCM kwa kashfa za kutokua...
CCM ni sikio la kufa halisikii dawa, nashindwa kuelewa sijui wamelogwa....!? Yaani hawaoni kwamba haya mambo ya kujuana yanawaangamiza sa huyo Makongoro Nyerere anapeleka nini jipya huko? Hii Malecela Boy nayo haijui lolote kuhusu maisha ya mtanzania wa kule kijijini anahitaji nini na changamoto...
Kunya anye bata akinya kuku inakuwa nongwa! Lusinde, Lema, Mdee pamoja na Sugu wote ni mfano mbaya kwa jamii yetu kwa kuacha siasa na kutoa lugha za matusi! Mahakama kwa hili iko clean, Big up mtoa mada.
Wallah akigombea kupitia cdm ataingia ikulu! Cdm mkaribisheni huyu jamaa ni jembe! Akichaguliwa atafanya kazi kwa nguvu zote kuprove kuwa yeye ni mchapakazi afu another advantage ni mzoefu serikalini na ataijenga cdm.
cdm tuache jazba! Hii inatia wasiwasi pale tunapokuwa bias hata kama mtu anasema ukweli, tunapoguswa tu watu wanapandisha jazba! Mara nape mara magamba mnauwahakika?
Kwa mheshimiwa Shibuda mtachoka Wenyewe, he always looking for cheap popularity, hapo alipo roho yake nyeupee kuona watu wanamjadili na vyombo vya habari vinamtataja, dawa ni kumtama tu! Maana amewashika pabaya, mkimfukuza means no democracy in cdm, na mkimwacha ni kichefuchefu! Chagueni kipi bora.
Kushabikia CCM au kutoshabikia CCM ni uhuru wa mtu, maana mgongano upo katika ngazi zote from family level sasa unaposema anaeshabikia ccm hana akili au ni mjina inaonyesha ufedhuli wako zaidi unataka watu wote wafuate wawazo yako hata kama si sahihi! Akili hiyo ni yakibakaji kila mtu anaakili...
Hizo hasira zako zipeleke kwenye maendeleo yako binafsi ndipo utanielewa! Narudia kusema kuwa tufanye kazi kwa bidii na maarifa tuache kulalamika, hata wabunge wakinyimwa hadi mishahara we binafsi hutapata kitu chochote bila kujishughulisha kaka!
Hii issue ya posho imekaa kiwivuwivu, tatizo si watz huwa hatupendi kuona mtu anapata kitu huwa tunajenga wivu wa kwanini yule kapata badala ya kufanya kazi,ukijiuliza deeply hiyo posho ni shilingi ngapi utagundua upuuzi wa kuijadili hoja hii, what I think watu wangekuja na constructive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.