HP kufungua kiwanda Tanzania ni wazimu mtupu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HP kufungua kiwanda Tanzania ni wazimu mtupu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Jun 25, 2011.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Hivi nyie manokaa USA mmeshindwa kuwaambia hawa HP kuwa umeme wa kiwanda cha SIDO hatuna japo tuna mali ghafi zote za kuzalisha umeme...sasa iweje wao wanataka kuja kufungua kiwanda Tanzania ? Nchi imejaa wizi na urasimu uliotukuka

  bora HP wakafungue kiwanda chao Msumbiji au Kenya au Rwanda

  sisi bado maybe in the next 100 yrs...maybe
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Cheap Labour (kama ni kweli wanakuja)
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,313
  Likes Received: 19,459
  Trophy Points: 280
  tupe link..kuwa wanataka kuja kufungua kiwanda Tanzania
   
 4. J

  John10 JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuwa mzalendo. Na kama ni habari za kweli, basi inabidi WTZ wote tushangilie, hii ni GREAT NEWS kwa nchi. Usijali kuhusu umeme, hizi kampuni kubwa zinatumia umeme wao wenyewe wa solar au generator. Hadi barabara wanajenga zao wenyewe. Ni habari nzuri.
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  By the Way unaamisha HP (Hewlett Packard) au HP Sauce...?
  tupe data kamili please
   
 6. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #6
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Watanzania sijui tunafikiriaje!..
   
 7. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  [h=1]nadhani sio hiyo hapo chini kama ni hiyo basi sio kiwanda
  lakini pia hata kama kingekuwa kiwanda wewe una haki ya kuchagua wao wajenge wapi
  HP wana resource za kutosha kuwajulisha tanzania kuna umeme au hakuna na kuna wizi au hakuna wakijenga kiwanda watakuwa wamejilidhisha na uwekezaji wao ili sio kampuni la serikali ya kitanzania mkuu,
  anyway hakuna kiwanda mpaka utakapo toa habari hii umeipata wapi kama sio hiyo hapo chini

  HP To Launch Cartridge Authentication in Tanzania
  [/h]Date: June 24, 2011
  New York, NY –- To further crack down on the importing of counterfeit HP cartridges, HP will be working with Tanzanian government officials and law enforcement to teach them how to spot counterfeit cartridges. The movement began in earnest in the EMEA (Europe, Middle East, Africa) Region in 2006 and in that time, over 9 million cartridges have been seized.
  The distribution of this software should further assist the people of Tanzania in identifying when they have a counterfeit cartridge. Currently, the software is installed in HP LaserJet printers only and detects the authenticity of each cartridge when it is installed. The software will work will not only original cartridges, but those which are refilled, remanufactured as well.
  The same software was recently distributed in Kenya, where 141,000 cartridges have already been seized. One problem, in addition to the performance of these cartridges, is that they are priced the same as if they were authentic, another measure used by counterfeiters to avoid detection.
  No problems have been reported with HP's software as of yet, but similar software from Lexmark has sparked controversies for those who manufacture aftermarket supplies. Only time will tell if otherwise legitimate reman cartridges get picked up as counterfeit.
   
 8. f

  fazili JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,192
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Unakosea sana ndugu waache waje kwani matatizo ya umeme Tz yatadumu kwa miaka 100? Yatakwisha muda si mrefu hivyo. Halafu kama wao wenyewe wanakuja kuwekeza tz unafikiri hawakuangalia mambo kama umeme, soko, labour, nk? Wanajua watafanyaje. Na pia vipo viwanda vingi tu tena vyenye kutumia umeme mwingi mno kuliko huo wa kutengeneza electronics kama vile viwanda vya saruji mbona hivi vinajengwa vingi zaidi? unafikiri wanojenga hawajui tatizo la umeme Tz? Au wewe ni mkenya nini?
   
 9. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu if that the case we dont need that software hawa jamaa wanauza catridge zao bei ya juu sana, kwahiyo refillied catridges au OEM catridges zipo cheaper kidogo.. (this is like a company selling you a car and forcing you to use their own petrol alone).., wamejaribu sana kuwatisha watu kwamba oem catridge zinaharibu printer ila ni wizi mtu... Inkjet printer unaweza kupata kwa elfu 55; catridge mbili pia ni bei hiyo hiyo alafu printer mpya inakuja na catridge si bora nifanye refill printer hata ikiharibika ninunue mpya.....
   
 10. c

  chilljuice Member

  #10
  Jun 25, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina wasiwasi na habari hii naomba mmaojua zaidi kuhusu issue hii mtueleweshe vizuri naona kama good news ila mtoa mada ana negative attitude.
   
 11. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #11
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  HP nawashangaa wamekosa nchi ya kuwekeza jamani?
   
 12. V

  Vonix JF-Expert Member

  #12
  Jun 26, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 1,987
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Wamekosa pa kuwekeza,wenzao walioitwa na jk kwenye mkutano mkubwa wa wawekezaji pale nguludoto Arusha wakowapi????????hata wa dawa wote wamesepa baada ya kuona inchi hii haina lolote la maana ila ubabaishaji tu,miundombinu,umeme maji utadhani ndio kwanza tumepata uhuru leo kumbe 50yrs aibu!!!!!!!!!!.kama watakuja basi watakuja kubadilisha malengo wakimbilie kwenye madini,huko watapata faida na umeme huko haukatwi.
   
 13. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Uzalendo mbele acheni upuuzi huo. Vijana kibao hawana ajira nyie mnapiga kampeni kiwanda kisije nchini. Nina wasiwasi mlete thread atakuwa Mkenya anaipigia kampeni nnchi yake. Tutatue matatizo yetu ya umeme lakini pia tuzidi kuhamasisha wawekezaji waje. Mgao unaumiza kila mtu lakini sio ifikie hadi tunaikana nchi yetu.
   
 14. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hicho ndicho wanakuja kufanya nadhani wameshawashika serikali masikio refill inafanyika dunia nzima na ni cheap kama unavyosema
  waende zao.

  sema hakuna kiwanda maana wanafunga sana viwanda siku hizi hawa jamaa ushindani unawakamua mbaya
   
 15. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  mpaka sasa habari ni hiyo hapo juu tu hakuna feed zozote kwenye media hii ni issue kubwa tungekuwa tumeipata
  anyway labda iwe tetesi
   
 16. u

  ureni JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  labda alisoma hapa [FONT=&quot]Local News HP to set up major centre in Tanzania [/FONT]
  [TABLE="class: MsoNormalTable, width: 300, align: right"]
  [TR]
  [TD]
  [TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100%"]
  [TR]
  [TD]
  [TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100%"]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  [TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100%"]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  [TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100%"]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]
  [FONT=&quot] [/FONT]​
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [FONT=&quot]
  By JOHN KULEKANA recently in Cape Town, 8th May 2011 @ 20:00, Total Comments: 0, Hits: 1036

  HEWLETT-Packard Company (HP), one of the world's largest information technology companies, will soon open a major centre in Tanzania, as part of its global expansion plan, a senior official with the firm said over the weekend.

  "The move is part of HP global expansion plan. At present paper work on the project is going on. It will be a fully operational office," HP Senior Vice-President (Growth Markets), Mr Brian Humphries said.

  Mr Humpries said this during talks with President Jakaya Kikwete on the sidelines of a three-day 21st World Economic Forum (WEF) for Africa, which ended in Cape Town, South Africa towards the end of last week.

  HP specializes in developing and manufacturing computing, data storage and networking hardware. It is also involved in designing software and delivering services.

  Major product lines include personal computing devices, enterprise and industry standard servers, related storage devices, networking products, software and a diverse range of printers, all-in-one's and other imaging products.

  President Kikwete said he was glad with the firm's decision and pledged full government's support.Mr Kikwete also called upon the company to assist Tanzania develop and promote IT industry through training of local experts.

  Mr Humpries said apart from marketing its products to households, small- to medium-sized businesses and enterprises directly as well as via online distribution also deals with institutions, including governments in provision of IT solutions.

  The president told the HP executive that the government was committed to promotion and development of CIT application in the country and briefed him on various on-going projects and initiatives.

  He said the country has invested 'substantially' in marine and terrestrial fiber-optic networks that will cover every district by the end of this year.The networks are expected to reduce costs for internet service providers and improve connectivity in the country.

  Earlier last week, a South Korean conglomerate, Samsung Corporation announced plans to open an assembly plant in Tanzania under export processing zone (EPZ) scheme. [/FONT]
  [TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100%"]
  [TR]
  [TD] [FONT=&quot] [/FONT]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 17. n

  nyantella JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  This is serious!!! halafu utakuta ww ni mwanafunzi wa chuo unaye tarajia kupata kazi ukimaliza! una mawazo mawazo mfu kabisa. very disgusting!!!
   
 18. p

  profkobayashi JF-Expert Member

  #18
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 224
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  at least he thinks independently
   
 19. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Halafu mkizunguka huko mitaani mnajiita wazalendo na wenye mapenzi na uchungu na nchi hii huku ni wasaliti na wahujumu wakubwa. Wewe badala ya kupongeza maamuzi hayo ili yaje kuinua uchumi na kukuza ajira za nchi yetu wewe unakimbi huku na kule kushawishi wasije na huku binamu na wapwa zako hawana hata kibarua cha kuwapa mohogo wa kuchoma. Unadhani unamkomoa JK kwa kufanya hivyo? Aibu tupu!
   
 20. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Does he know?
   
Loading...