Mbunge Pauline Gekui anatia aibu CHADEMA

Tatizo CDM hawapendi kukukosoleawa! Mtu kachemsha kabisaaaa, halafu mnajidai kumtetea!
 
Cdm mmezoea matusi badala ya kujibu hoja. Kutofautina mawazo ni sehemu ya demokrasia
Usiseme CDM sema walioichoka ccm, unajua kila anayepinga hapa si cdm hata hivyo JF haipo kwaajili ya wana cdm tu bali watanzania wote, sasa sijui unatumia vigezo gani kusema cdm, ila nikwambie jambo moja tu wale wote wanaoitetea ccm hata hoja ikijibiwa kwa umakini sana na mtu mmoja ila wanaoichukia ccm na serikali wengi wao wakatoa lugha chafu huwa hamuangalii hiyo hoja moja bali zile lugha chafu. WATANZANIA WAMECHOKA NA CCM KWA RUSHWA NA UTAWALA WA HOVYO, wala si swala la CDM hapa..
 
Nimeweka hotuba yake ili kama ni kweli hizo lawama tujue.
 

Attachments

  • hotuba ya mhe pauline gekul ofisi ya makamu wa rais muungano 2011 2012.doc
    117 KB · Views: 174
hauikuwa na mvuto wala hoja za msingi. Nawapa ushauri wa bure akapewe tution namna ya kuwasilisha hotuba ya upinzani bungeni. Pia awe awe anajiamini

upupu mtupu!! Binafsi nimemwona! She was very confident and straight!

Where she had to gesture,smile,also stressing upon a point she did accordingly!
 
kama huyo anatia aibu na mwizi wa mataulo hotelini analeta sifa kwa ccm?
 
Ndugu wanaCDM huyu mbunge wenu mmemuokota wapi? Kwani akiwa kama Waziri Kivuli Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, amesoma hotuba kichovu sana. SHULE yake inatia shaka ama amepewa ubunge wa viti maalum kupitia sifa za ukoo na eneo atokalo kama ilivyozoeleka ndani ya CDM!

Utamfananishana na nani huko kwenye magamba?????????????????????????????
 
ccm ina mapro wangapi wanaojua kuchangia?
kama hoja ni namna ya kuchangia na wala si uzito wa hoja kweli ni kichekesho kwa nyie magamba.kila siku ngeleja anajipanga vizuri sana kuelezea mipango ya dharura kwa miaka 7 sasa,kwa akili ya kimagamba dharura ni miaka 20.ndio maana hata ukitukanwa mi naona sawa tu
cdm hatutaki watu wa kauli na makaratasi tunataka watendaji.
nyau we.
 
Bunge lenyewe bunge basi!? Wanaoafiki waseme ndiooo, wasioafiki waseme siooo!! Walioafiki wameshinda. Ikawa asubuhi ikawa jioni.
 
cdm tuache jazba! Hii inatia wasiwasi pale tunapokuwa bias hata kama mtu anasema ukweli, tunapoguswa tu watu wanapandisha jazba! Mara nape mara magamba mnauwahakika?
 
sasa kama kafanya mafyongo watu wasihoji...??kwani nyie cdm mmemtoa wapi mtu asiyejua kujipresent mbele ya bunge? ndo ubaya wa kuokoteza wabunge wanaotemwa na vyama vingine...!! na mkielezwa watu wa cdm ukweli mnaanza kusema eti kuna mada inapindishwa, Ooooh! mara eti nape yupo hewani anaendesha kampeni ndani ya jf...!!
Ni kwamba ameshindwa kusoma au!!,au mlikuwa na hamu ya kuona iPad!?Akili umeipeleka likizo mkuu!?
 
Ndugu wanaCDM huyu mbunge wenu mmemuokota wapi? Kwani akiwa kama Waziri Kivuli Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, amesoma hotuba kichovu sana. SHULE yake inatia shaka ama amepewa ubunge wa viti maalum kupitia sifa za ukoo na eneo atokalo kama ilivyozoeleka ndani ya CDM!
Kwanza umeandika kishabiki,mwishoni umepotosha kabisa hivi wewe ni mtu wa aina gani!!!?Wewe utakuwa wa kwanza kuchunguzwa elimu yako
 
Ndugu wanaCDM huyu mbunge wenu mmemuokota wapi? Kwani akiwa kama Waziri Kivuli Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, amesoma hotuba kichovu sana. SHULE yake inatia shaka ama amepewa ubunge wa viti maalum kupitia sifa za ukoo na eneo atokalo kama ilivyozoeleka ndani ya CDM!

Waambie CCM tumesikia............
 
Umahiri wa Mbunge na kutetea wananchi haijalishi; Shule ya mtu au umahili wa kusoma hotuba

Sio kwa mujibu wa Chadema.

Wabunge wa viti maalum wamechakuliwa kwa elimu zao. Kila mwenye elimu ya juu zaidi alikuwa na nafasi kubwa zaidi ya kuchaguliwa kwa vile chama kinaamini elimu ni directly proportion to ubora wa mbunge
 
sasa kama kafanya mafyongo watu wasihoji...??
kwani nyie cdm mmemtoa wapi mtu asiyejua kujipresent mbele ya bunge? ndo ubaya wa kuokoteza wabunge wanaotemwa na vyama vingine...!!
na mkielezwa watu wa cdm ukweli mnaanza kusema eti kuna mada inapindishwa, Ooooh! mara eti nape yupo hewani anaendesha kampeni ndani ya jf...!!


Hivi kweli ninyi watu wa magamba mmeishiwa hoja. Mbona hii hoja haina wala mvuto. Mngejadili mambo yenu ya kuvuana magamba na jinsi gani mtajizuia kuiba hata mataulo huko mahotelini. haya ya mtu kusimama na kusema bungeni sio lazima wabunge wote wafanane namna za kuongea. Afadhali hata huyo mnayemsema kathubutu kuzungumza. Wabunge wengi wa magamba mle mjengoni wanachapa usingizi tu. Labda huwa wanapunguza usingizi mjengoni baada ya kurandaranda usiku kutafuta vya kuiba. Shame on you
 
Ndugu wanaCDM huyu mbunge wenu mmemuokota wapi? Kwani akiwa kama Waziri Kivuli Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, amesoma hotuba kichovu sana. SHULE yake inatia shaka ama amepewa ubunge wa viti maalum kupitia sifa za ukoo na eneo atokalo kama ilivyozoeleka ndani ya CDM!

She is a Graduate from University of Dar es Salaam 2003 - 2006 - Bachelor of Arts in Political Science & Public Administration and alikuwa mmoja wa ma-dada hard worker na bright sana.Namkumbuka pia alikuwa ni kiongozi wa DUPSA(Dar es Salaam University Political Science Students Association).Then akaenda kugombea ubunge Babati akashindwa kwa mrgin ndogo na mchakachuaji maarufu wa CCM aliyekimbizwa Tarime akaenda kuiba Babati.
 
Hauikuwa na mvuto wala hoja za msingi. Nawapa ushauri wa bure akapewe tution namna ya kuwasilisha hotuba ya upinzani bungeni. Pia awe awe anajiamini
ulitaka aongee pumba kama munde tambwe?kawape ushauri wale waiba taulo,magamba bana,kila kitu kwenu ni deal.
 
Back
Top Bottom