CHADEMA Geita wamtolea uvivu Shibuda;Wataka aondolewa CDM

mimi pia .......
Mkuu, usipende kila kitu kuunga mkono tumia akili yako, utakuja kuambiwa uongoze maandamano ya kupindua nchi upigwe risasi ya kichwa, uone kama huyo Mbowe na a loser Dr Slaa kama wataisaidia familia yako, mfano Arusha, familia za wale Marehemu walipewa 50,000 kama kifuta jasho
 
Hapana. Tujifunze kuvumilia misimamo tofauti ndani ya chama. Tukumbuke, tukikubaliana kwa kila jambo ni wazi baadhi yetu wameacha kufikiri. Tukubali kutokukubaliana
 
Mkuu, usipende kila kitu kuunga mkono tumia akili yako, utakuja kuambiwa uongoze maandamano ya kupindua nchi upigwe risasi ya kichwa, uone kama huyo Mbowe na a loser Dr Slaa kama wataisaidia familia yako, mfano Arusha, familia za wale Marehemu walipewa 50,000 kama kifuta jasho

Unaonekana unashabikia mauaji wewe
 
Mkimfukuza mmejimaliza wenyewe ! jamaa ameisha wazidi ujanja huyo mwacheni tu alete upinzani wa kweli ndani ya CDM
.Hiki kirusi kama walivyodai wanachadema kinapaswa king'olewe chamani haraka sana. Ni afadhali mara mia jimbo lirudi sisiem na ijulikane kuwa. mwakilishi wake ni mwanaccm kuliko kuwa na huyu msaliti Yuda iskariote. Mwanajeshi wa kambi ya upinzani akikamatwa mateka, kuna mawili. Ama kuuliwa au kufungwa gela za kijeshi, lakini mwanajeshi msaliti wa wenzie, hakuna option. Jambo moja tu linahitajika nalo ni kifo. Vivyo hivyo shibuda, chadema fire him out of part..
 
Aondoke ndani ya chama huwezi kuwa na tabia kama ya kuku wa kisasa kama ya Shibuda kweli aondoke ndani ya CHADEMA
 
Je Shibuda akiomba msamaha bado anastahili kufukuzwa????????????????????
 
wakati Lukuvi akichangia mjadala wa hotuba ya wazir mkuu, alisoma kimemo kinachosema je wabunge wanaopingana kimsimamo na wenzao kwenye vyama vyao wakifukuzwa, bunge litawateteaje kuhusu ubunge wao??........nilishangaa Lukuvi alipojibu kuwa "utaenda mahakamani namahakama itakurudisha".............nafikiri hii ni mbinu tu, na ikitokea Shibuda akafukuzwa huenda akayumia mbinu hii....ila itakuwa bahati mbaya kwake maana hatakuwa mbunge ila bahati mbaya sana kwa wananchi wa jimbo lake maana watakosa mwakilishi....ni vema shibuda akaliona hilo, kwani usaliti ndani ya chama ni jambo lisilovumilika........hapa wale waliomtetea shibuda pale alipopigwa chini ukaimu wa wenyekiti wa mkoa watakuwa wameliona hilo
 
Natamani baadhi yenu munaounga mkono posho ziwepo cku moja mungeenda vijijini mukaona maisha ya watz wenzunu wanavyoishi au muende ht amana hospital muone wagonjwa na wajawazito wanavyolazwa chini sidhani ht mungekubali kufanya hicho mulichotumwa.
 
Mkuu, usipende kila kitu kuunga mkono tumia akili yako, utakuja kuambiwa uongoze maandamano ya kupindua nchi upigwe risasi ya kichwa, uone kama huyo Mbowe na a loser Dr Slaa kama wataisaidia familia yako, mfano Arusha, familia za wale Marehemu walipewa 50,000 kama kifuta jasho
kwa sababu wewe unalipwa kwa kuandika upupu hapa jamvini kwahiyo unadhani kila mtu yuko after money? upstairs empty kabisa wewe.
 
Kwa mheshimiwa Shibuda mtachoka Wenyewe, he always looking for cheap popularity, hapo alipo roho yake nyeupee kuona watu wanamjadili na vyombo vya habari vinamtataja, dawa ni kumtama tu! Maana amewashika pabaya, mkimfukuza means no democracy in cdm, na mkimwacha ni kichefuchefu! Chagueni kipi bora.
 
Shibuda ni lazima aoneshwe kuwa CHADEMA siyo CCM ambako kila mmoja huweza kuamua kufanya anachotaka tofauti na sera ya chama. CHADEMA ina sera, na ni yule tu anayeziamini, kuzitetea, kuzilinda, kuziendeleza na kuziishi kwa vitendo ndiye anayestahili kuwa kiongozi. CHADEMA siyo mahali pawaimba mashairi na ngonjera zisizo na vichwa wala miguu.

Tunaomba uongozi wa CHADEMA uchukue uamuzi mzito wa KUMFUKUZA SHIBUDA haraka sana kutoka CHADEMA, aende kwa wachumia tumbo wenzake. CHADEMA hapamfai. Aheri kubakia na wabunge 2 wanaowatetea wananchi kuliko kuwa na 100 wachumia tumbo kama SHIBUDA.
 
Shibuda ni kirusi ndani ya chadema chama safi watu safi malengo 2015 msipokubali usoni moyoni mtakubali
 
Back
Top Bottom