Kwa hili nasema wanachama na wapenzi wote wa Magwanda ni wasaliti kwa CHADEMA

acha makelele mwambie nape aje kwenye hiki kituo morogoro aone umuhimu wa kuondoa posha wazee wapate pensioni hata kama kidogo

PHOTO:kituo cha kulelea wazee Morogoro mjini

attachment.php

Hivi we dadangu, hizi picha unaziibua wapi vile? he he he heeee hongera kwa kumudu kuwajibu hawa jamaa...
 
Ha ha haaaaaa MAGWANDA kwa kuchakachua hamjambo, hii picha ni ya siku nyingi sana ilipigwa RWANDA

Nadhan kuna haja ya kuwatambua wana JF wa aina hii na kuacha kuchangia thread zao. Kwani aina ya majibizano yanayofanyika hapo juu ndo wanayataka na kuyapenda. We have to save our bullets for the real fight ahead of us, tuwapotezee tu!
 
Hebu tuambie mwana MAGAMBA.
Unafanya tathmini ya wangapi walimpigia JK au Dk. Slaa ili upate data kwa kujiandaa na 2015 au?? Pole yako maana hapa hupati kitu.... Great Thinkers tumekushtukia joo. Huambulii ki2 ng'o. Kura ni siri ya mtu. Kajivue magamba hukooo
 
Hebu tuambie mwana MAGAMBA.Unafanya tathmini ya wangapi walimpigia JK au Dk. Slaa ili upate data kwa kujiandaa na 2015 au?? Pole yako maana hapa hupati kitu.... Great Thinkers tumekushtukia joo. Huambulii ki2 ng'o. Kura ni siri ya mtu. Kajivue magamba hukooo
hongera ila si vibaya kujipa matumaini labda muwanunue wapiga kura km mlivyojaribu kufanya last time
 
Genius b na malaria s naona aliyewaroga mpaka msione matatizo ya nchi yetu alishakufa.Kama huna cha kupost humu jamvini basi kaeni kimya.
 
.......Wewe huna akili timamu kabisa!! Na thread yako inadhihirisha mambo yafuatayo...
  1. Ufinyu wa mawazo,ujinga,upumbavu wako...
  2. Na unaonyesha unapenda mzaha mzaha sana,na unadhani watu wote wana akili fupi kama yako.......
  3. Unataka watu wapoteze muda kuchangia upuuzi wako...na hata comments zako kwa post za watu unaonesha jinsi ulivyo mjinga
  4. Unaonyesha elimu yako ni ndogo..na kama umesoma basi ni wale walipata GPA za <1.5....
  5. Ujui kujenga hoja na thread yako inaonyesha uwezo mdogo wa kujenga hoja....
  6. Umekosa kazi na hiyo inakusababishia kupost thread zinazoonyesha ushamba wako ni upumbavu wako.........
  7. Ni kati ya watanzania wachache waliobaki Tanzania wenye mawazo yakijinga na yasiyo na tija.......
Kwa haya yote nenda kapate kikombe cha babu Loliondo haraka kabla ujapata ukichaa kabisa........
 
Alipewa Jk au aliiba kura. Huna jipya wewe! Bora usingeleta hoja hii. Kila mtu anajua Jk aliiba kura, hata wewe unajua. Nani alimpa kama siyo endawazimu huo?
 
Kwa hali hii kwa nini tusiseme wanachama + wapenzi wa CDM a.k.a MAGWANDA ni wasaliti na wasio watendea haki viongozi wao ?. Mwaka jana wakati wa uchaguzi mkuu walihudhuria kwa wingi kwenye mikutano ya Magwanda, ila mwisho wa siku kura wakampigia Dkt. JMK, sasa huu kama sio usaliti ni nini ? . Mlimfanya Slaa aaanze kuota njozi za kujenga ghorofa hewani kwa kudhania atakuwa RAIS, ila mwisho wa siku matokeo yalipokuwa yakitoka hakuamini macho yake na kupandwa na pressure mpaka kufikia kulazwa hospitali, na kuchanganyikiwa kwa kutoa kauli zisizo eleweka . Sasa huu kama si usaliti kwa kiongozi wenu ni nini nyie wapenzi na wanachama wa Magwanda ?. Kwa usaliti huu ningekuwa kiongozi wa Magwanda ningewashauri kuwafukuza wanachama wote tuanze upya
mh yaani katika kampeni zote za wagombea urais nilihudhulia moja tu ya wilbroad ila kula sikupiga mkuu.nami si chadema,ccm ama kafu Bado Nipo nipo kwanza
 
.......Wewe huna akili timamu kabisa!! Na thread yako inadhihirisha mambo yafuatayo...
  1. Ufinyu wa mawazo,ujinga,upumbavu wako...
  2. Na unaonyesha unapenda mzaha mzaha sana,na unadhani watu wote wana akili fupi kama yako.......
  3. Unataka watu wapoteze muda kuchangia upuuzi wako...na hata comments zako kwa post za watu unaonesha jinsi ulivyo mjinga
  4. Unaonyesha elimu yako ni ndogo..na kama umesoma basi ni wale walipata GPA za
 
Back
Top Bottom