Recent content by chilamjanye

  1. C

    Ni mapinduzi ya zanzibar au ya ccm na cuf

    Anaingia Makamu wa Pili wa Rais ambaye ndo Kiongozi wa Shughuli za Serikali Bungeni, huyu Seif yupo tu kama symbol ya kuwakilisha uwepo wa CUF Zanzibar na kushirikiana na serikali ya CCM but toothless with no power. Kazi ya serikali za hivi ni kudhoofisha demokrasia
  2. C

    Ni mapinduzi ya zanzibar au ya ccm na cuf

    Argue with sense man, wale wagombea uraisi wengine uko zanzibar walikuwa wa vyama gani kwa uchaguzi uliopiata,na je wazanzibar wote ni wana CCM na CUF, wale wasio na vyama tuwaweke wapi? MY TAKE: Hakukuwa na Haja ya kupamba maadhimisho hayo kwa bendera za vyama, bali yaadhimishwe kitaifa kwa...
  3. C

    Ni mapinduzi ya zanzibar au ya ccm na cuf

    eti wawakilishi wa vyama vya siasa zanzibar yaan CCM na CFU wanaandamana kupita mbele ya rais
  4. C

    Ni mapinduzi ya zanzibar au ya ccm na cuf

    ndugu wana jamvi leo nilikuwa naangalia siku ya mapinduzi ya zanzibar na nikasikia myangazaji akielezea vizuri kabisa kwamba leo ni siku ya mapinduzi matukufu ya wazanzibari kutimiza miaka 47. Sikumuelewa vizuri mwandishi baada ya kuangaza uwanja umepambwa na bendera za vyama viwili vya siasa...
  5. C

    Airtel wasimamisha Rewards program kiujanja?

    fika ofisi za airtel na points zako utaoneshwa na kupewa zawadi kulingana na point zako tuache upotoshaji wenye pont zao wanapata zawadi kama kawaida
  6. C

    Jiji bora afrika mashariki.

    Yote yanapigwa bao na KIGALI RWANDA
  7. C

    Tigo iko bofu bana.....mtandao wa tigo huduma zero

    sisi wengine huku airtel we acha bwana uhuru ni mkubwa mno huduma kwa wateja ni bure halafu tigo shilingi mia kwa kila ukipiga lakini hukiamisha salio unalipia asilimia kulingana na kiasi unachotuma mfano ukiamisha shilingi mia 500 unalipa asilimia 15% sisi kwetu airtel unaamisha bure kabisa...
  8. C

    Msaada wa luku

    wewe bora una tatizo hilo mimi nahitaji LUKU ya digital nimeshatuma mail tanesco wanipe utaratibu na cost bila majibu na ukionda ofisini foleni ya kufa mtu mwenye msaada niambie na bei
  9. C

    Fundi Bajaji wa Bagamoyo! Kulikoni?

    kweli hadhi yake ya kuchambua mambo ni yakibajajibajaji so muache ndo uwezo wake ulipofikia wa kuona mambo
  10. C

    Mjadala wa Katiba Mpya on Star TV this Sunday

    YAHYA UNAWEZA KUNIPATIA UTARATIBU HUO THROUGH sabe_05@yahoo.com
  11. C

    Mjadala wa Katiba Mpya on Star TV this Sunday

    yahya napenda sana kuchangia mijadala sometimes hata live kama kuna uwezekano niambie utaratibu wa kuweza kushiriki kupitia studio za dar es salaam napenda sana yaani pia huwa nikipiga simu sipati line hata siku moja
  12. C

    Rais Anapoacha Kuhutubia Siku ya Uhuru......Inaashiria nini?

    afya yake haimruhusu aliofia kuanguka kama ya jangwani
  13. C

    Ali kiba jayooooooooooooooooo

    Wakupongezwa kipekee ni airtel kwa kuamua kudhamini hii project mimi naona airtel wamekuja vizuri
  14. C

    Ukanda wa pwani kuna laana gani?

    mimi huwa sielewi hivi hata yule ANTI EZEKIEL NI DUME?
  15. C

    Maskini Mustafa Hassanali

    ungeweka na picha zake tulinganishe
Back
Top Bottom