Anaingia Makamu wa Pili wa Rais ambaye ndo Kiongozi wa Shughuli za Serikali Bungeni, huyu Seif yupo tu kama symbol ya kuwakilisha uwepo wa CUF Zanzibar na kushirikiana na serikali ya CCM but toothless with no power. Kazi ya serikali za hivi ni kudhoofisha demokrasia
Argue with sense man, wale wagombea uraisi wengine uko zanzibar walikuwa wa vyama gani kwa uchaguzi uliopiata,na je wazanzibar wote ni wana CCM na CUF, wale wasio na vyama tuwaweke wapi?
MY TAKE: Hakukuwa na Haja ya kupamba maadhimisho hayo kwa bendera za vyama, bali yaadhimishwe kitaifa kwa...
ndugu wana jamvi leo nilikuwa naangalia siku ya mapinduzi ya zanzibar na nikasikia myangazaji akielezea vizuri kabisa kwamba leo ni siku ya mapinduzi matukufu ya wazanzibari kutimiza miaka 47.
Sikumuelewa vizuri mwandishi baada ya kuangaza uwanja umepambwa na bendera za vyama viwili vya siasa...
sisi wengine huku airtel we acha bwana uhuru ni mkubwa mno huduma kwa wateja ni bure halafu tigo shilingi mia kwa kila ukipiga lakini hukiamisha salio unalipia asilimia kulingana na kiasi unachotuma mfano ukiamisha shilingi mia 500 unalipa asilimia 15% sisi kwetu airtel unaamisha bure kabisa...
wewe bora una tatizo hilo mimi nahitaji LUKU ya digital nimeshatuma mail tanesco wanipe utaratibu na cost bila majibu na ukionda ofisini foleni ya kufa mtu mwenye msaada niambie na bei
yahya napenda sana kuchangia mijadala sometimes hata live kama kuna uwezekano niambie utaratibu wa kuweza kushiriki kupitia studio za dar es salaam napenda sana yaani pia huwa nikipiga simu sipati line hata siku moja
Ninauza kiwanja changu kipo madale ni robo heka kimezungushiwa michongoma ni karibu na kwa Kawawa kinafikika kiurahisi lakini hakijapimwa bei milioni 5.5 kuna mazungumzo nauza kwa sababu nina shida ya Ada ya Chuo na Dalali Hatakiwi mimi ndo mwenye mali na muuzaji.
Note: nilishatangaza mwanzoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.