Recent content by ChikoTz

  1. ChikoTz

    Jeff Lea: Simba hamfiki mbali kwa ulinzi ule

    Kila siku ukiwa na mafanikio lazima wa kukuonea wivu tu wawepi si hatujali wala nn #nguvumoja
  2. ChikoTz

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Hiyo ndio simba brother
  3. ChikoTz

    Twitter leo haifanyi kazi?

    Tweeter imefungiwa kufanya kaz Tanzania Mura
  4. ChikoTz

    SIMULIZI: Salhat SEHEMU YA 01

    Simulizi: SALHAT Sehemu: 03 Mtunzi: Salma Rashid Ni baada ya Samia kuhitaji kurudi nyumbani kwao na mwanaye Salhat. ***** ******* *** " itabidi tumzike Kwani hatutaweza kusubiri siku nyingne zaidi!! Aliongea shehe ambaye aliamuru maiti ya Naseeb ichukuliwe na kuanza kufanyiwa utaratibu wa...
  5. ChikoTz

    SIMULIZI:Salhat sehemu ya 3

    Simulizi: SALHAT Sehemu: 03 Mtunzi: Salma Rashid Ni baada ya Samia kuhitaji kurudi nyumbani kwao na mwanaye Salhat. ***** ******* *** " itabidi tumzike Kwani hatutaweza kusubiri siku nyingne zaidi!! Aliongea shehe ambaye aliamuru maiti ya Naseeb ichukuliwe na kuanza kufanyiwa utaratibu wa...
  6. ChikoTz

    SIMULIZI

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1595419/
  7. ChikoTz

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    [emoji4][emoji4][emoji4]
  8. ChikoTz

    SIMULIZI: Salhat SEHEMU YA 01

    SIMULIZI: Salhat SEHEMU YA 2 Simulizi: SALHAT Sehemu: 02 Mtunzi: Salma Rashid Tulipoishia Ni baada ya Samia kuzungumza maneno ambayo aliyaelewa yeye mwenyewe lakini ilikuwa ngumu kwa Lidia na mmewe Joseph kuyaelewa. *** *** *** *** Huku nako Mr matata akiwa nyumbani kwake huku kundi...
  9. ChikoTz

    Kwa mechi ya jana misri vs Tanzania tujiandae na saikolojia

    Mimi nasema ya kwamba Taifa Stars jana ni kweli walizingua hilo sikatai ila kusema ya kwamba 'Samatta na msuva' ambao ndio washambuliaji wetu wa jana. Eti kusema ya kwamba walizingua nakataa kwa herufi kubwa "HAPANA" kwasababu kama wewe kweli ulikuwa umeuangalia kweli ule mpila washambuliaji...
  10. ChikoTz

    SIMULIZI: Salhat SEHEMU YA 01

    Simulizi: SALHAT Sehemu: 01 Mtunzi: Salma Ramadhani Ulikuwa usiku wa manane ulioambatana na radi za kutosha huku mvua nyingi na Kubwa ikiendelea kunyesha katika maeneo ya Arusha mtaana wa Moshono karibu kabisa na uelekeo wa chekereni alionekana msichana mmoja akiwa na Mtoto mdogo mbele ya...
  11. ChikoTz

    JINSI YA KUTENGENEZA APP KWENYE ANDROID STUDIO "MSAADA"

    Wakuu najua kuwa humu kuna watu ambao wanaujuzi wa ku create app kwenye android studio. Ila mimi ni bigginer ila napenda sana kutengeneza app Teali nimesha download Android Studio na kuinstall components zake na naomba mwenye ujuzi atusaidie maana kuna wengi kama mimi Ila mimi nahitaji...
  12. ChikoTz

    Simulizi: Nani Wa Kunifuta Machozi SEHEMU YA 1

    INAPATIKANA: www.bongosimulizi.com Habari wanajukwaa najua ya kwamba kuna wakati ambao unataka kusoma simulizi unayoipenda lakini kutokana na kukosa mda unashindwa kukaa chini na kuisoma. Lakini pia inawezekana ya kwamba wewe unapenda sana simulizi lakini wewe ni mvivu sana Wa kukaa chini na...
  13. ChikoTz

    Simulizi: Viumbe wa Ajabu wanaoishi Angani

    Ungana nami katika simulizi hii ya kweli inayohusu viumbe wa ajabu waishio angani. Kama ni msomaji wa vitabu vitakatifu, Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana. Inahisiwa kuwa visivyoonekana ni vingi kuliko vinavyoonekana. Viumbe hao wa ajabu waishio angani wanaitwa Aliens. Wana...
  14. ChikoTz

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Chaaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom