Twitter leo haifanyi kazi?

Twitter leo haifanyi kazi?

Habari za asubuhi everybody ! Nauliza wale wanzangu namie wapenda habari. Nimeamka saubuhi twitter haifunguki je ninyie ipo hivyo kwenu!?

Na nini shida?
Tweeter imefungiwa kufanya kaz Tanzania Mura
 
Back
Top Bottom