JINSI YA KUTENGENEZA APP KWENYE ANDROID STUDIO "MSAADA"

ChikoTz

Member
Feb 26, 2019
37
33
Wakuu najua kuwa humu kuna watu ambao wanaujuzi wa ku create app kwenye android studio. Ila mimi ni bigginer ila napenda sana kutengeneza app

Teali nimesha download Android Studio na kuinstall components zake na naomba mwenye ujuzi atusaidie maana kuna wengi kama mimi

Ila mimi nahitaji kutengeneza app za namna hiyo kwenye picha
Screenshot_20190613-095022.jpeg
 
kutumia Android Studio (AS) inabidi uwe na msingi wa Java , inabidi uwe nondo Java (Classes,Objects,Inheritance,Polymorphism,etc) kwanza, ndio uje kwa AS, sio kitoto

AS ni nzuri kwa kutengeneza apps zinazoitaji deep UI/UX , apps zinazoitaji 'coding from scratch' kabisa, yaani kabisa

kwa app kama iyo hapo kwenye picha uliyoposti, ni ya kawaida, online core platform kama:

http://gold.appybuilder.com/ au


na nyinginezo

au akina Xamarin, React Native na Kotlin ambazo ni mteremko kidogo, sio za kitabe kama AS

zitatua shida zako
 
Hapo kuna njia mbili unaweza kutumia kwenye android studio (sijui kama kuna zingine)

1. Kutumia webview class
Hii class unaweza kuitumia na kuifanya website kuwa app.

Inatumia embeded browser ya android so kuna lines chache sana za code.

Anza na hii code inageuza blog/web/html kuwa app kwa kutumia webview.
Code:
import android.app.Activity;
import android.app.AlertDialog;
import android.content.DialogInterface;
import android.graphics.Bitmap;
import android.os.Bundle;
import android.view.KeyEvent;
import android.view.Menu;
import android.view.MenuItem;
import android.webkit.WebSettings;
import android.webkit.WebView;
import android.webkit.WebViewClient;
import android.widget.ProgressBar;


public class MainActivity extends Activity {

private WebView mWebView;
ProgressBar progressBar;


@Override
protected void onCreate(Bundle savedInstanceState) {
super.onCreate(savedInstanceState);
setContentView(R.layout.activity_main);

WebView mWebView = (WebView) findViewById(R.id.activity_main_webview);

ProgressBar progressBar = (ProgressBar) findViewById(R.id.progressBar1);

WebSettings webSettings = mWebView.getSettings();
webSettings.setJavaScriptEnabled(true);
mWebView.loadUrl("http://www.jamiiforums.com");

Kwenye method loadUrl unaweka tovuti yako.

Ila HAIKUPI uhuru wa ku-customize muonekano na mpangilio.

Pia iko na security flaws google walifuta apps 132 ambazo zilishambuliwa na hackers na zote zilikuwa zinatumia class ya webvieq.

Hivyo mbadala wake ni kutumia hii njia ya pili.

2. Ku-expose site yako na JSON au XML.

Json iniewezesha app kufetch data toka kwenye server.

So json itahost links na vitu vingine utakavyoitaji kuonyesha kwenye app.

Inabidi ukae hapa ujifunze jinsi inavyofanya kazi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom