ChikoTz
Member
- Feb 26, 2019
- 37
- 33
INAPATIKANA: www.bongosimulizi.com
Habari wanajukwaa najua ya kwamba kuna wakati ambao unataka kusoma simulizi unayoipenda lakini kutokana na kukosa mda unashindwa kukaa chini na kuisoma. Lakini pia inawezekana ya kwamba wewe unapenda sana simulizi lakini wewe ni mvivu sana Wa kukaa chini na kuanza kusoma soma simulizi. Lazima kuna watu hao na Mimi pia nipo ila Mimi ni mvivu Wa kusoma napenda kusikiliza. Sasa nilifunzwa na mama ya kwamba
"Kizuri kula na nduguyo" aliniambia hivyo sasa na Mimi nimepata kitu kizuri. Kwanini nisile na ndugu zangu Wa jamii forum. Kwasababu katika kutafuta tafuta kwangu platform kama hizi nikakutana na kitu hiki. Hii ni blog ambayo mwanzilishi wake ana akili sana kwasababu ameweza kutarget kitu ambacho ni cha kipekee na ametusaidia wengi wapenda simulizi kwani anaweka simulizi kwa njia ya sauti na wewe unadownload tu kama unavyo download nyimbo au unaweza ukasikiliza online. Na ndio kitu nilicho kipenda zaidi katika blog ya bongosimulizi.com
Ila nimeona niwape link ya simulizi niliyoanza nayo Mimi ili muone jinsi kwenye hii blog kulivyo na vitu vizuri
Bonyeza
hapa
chini
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
www.bongosimulizi.com