Recent content by chikondi

  1. C

    JamiiForums Tanzania Hapa hakuna mke!

    mi mwenyewe natafuta mume ila wewe utanipa shida unavyoelekea
  2. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba ambaye alishawahi kuolewa akaachika

    mi ninasifa zote hizo but una wallet ya kutosha? kama unazo nijibu nikupe namba fasta au nikuinbox
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wanawake kujisahau wanapokuwa kwenye ndoa

    Wanaume wanapenda kubembelezwa sana, emagine una mtoto wa miezi mi4, unaishi madale, unafanyakazi mjini, unatoka kazini saa kumi na moja mpaka ufike home saa mbili , umechoka mtoto anakuhitaji na mwanaume anasema unaounguza mapenzi kwake how? mtoto na baba nani bora? na wengine mtoto akilia...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hard working woman

    dada kama umeyagusa maisha ya dada mmoja na so called mume wake, leo umenifumbua macho nilikuwa sioni nahisi naona. ni kweli wanafanya malavidavi but majukumu yote ni yako wewe(mama). but huyo dada ameshindwa amemwambia tafute kipato aje wasaidiane sio kumtegemea yeye tu alikuwa anasaidia hadi...
  5. C

    JamiiForums Tanzania New iPhone 4S from uk on sale

    New iPhone 4S from uk is for sale, and a used iPhone 4S that is still in good condition ,they are all 32GB,with IOS 5, price negotiable just dial 0752033874! And you can Instagram all the way..
  6. C

    JamiiForums Tanzania Eric Shigongo auita mtandao wa JamiiForums wa "KIJINGA KIJINGA"...

    Shigongo ni mjinga yeye ni mchafu sana mamboyake mbona hajaweka ukurasa wa mbele wa magazeti yake? yeye nisawa na matapeli wanaopata hela kwanjia isio halali kwa kuandika habari za uongo kwenye magazeti yake. Upeo wake ni mdogo anajua kuchokoa ya watu yake yanamshinda
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tusisubiri Mtetezi suala la Pensheni atoke nje ya wafanyakazi!

    1. Serikali inataka ijihakikishie matumizi ya hizo hela zetu 2.Mifuko ya pensheni imefilisika kwa kuwakopesha serikali na kujifanya wana fadhili miradi . 3.Huko kuwajali wafanyakazi wanataka kuanza leo? sikuzote walikuwa na hela kwanini wasiwasaidie wafanyakazi wakaishia kujenda majengo makubwa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Sauti za wanawake

    wakichina: huhu hahha nyixuxo yiuoichung cheng
  9. C

    JamiiForums Tanzania 10 Husbands, Still a Virgin

    lawyer married a woman who had previously divorced ten husbands. On their wedding night, she told her new husband, "Please be gentle, I'm still a virgin." "What?" said the puzzled groom. "How can that be if you've been married ten times?" "Well, Husband #1 was a sales representative: he...
  10. C

    JamiiForums Tanzania ITV vs X Film

    tafsida pls
  11. C

    JamiiForums Tanzania Faiza wa 5 select EATV naye ni walewale

    mtu mzima mwenzetu huyo labda alikosea badala ya 51 akasema 15 lol
  12. C

    JamiiForums Tanzania oriflame product

    product za oriflame zinapatikana kwa wanaohitaji tuwasiliane ni nzuri sana kwa wanaozifahamu
  13. C

    JamiiForums Tanzania Jamani dhana hii ni kweli kunako 6*6?

    mi naona utundu unafanya raha iongezeke, cos kuna wanaosoma gazeti wanalaumiwa na wanao nengua viuno wanapendwa, so tofauti ipo hata size ya mhogo inachangia
  14. C

    JamiiForums Tanzania Tiba ya kipara

    mwe mwe watu bwana
  15. C

    JamiiForums Tanzania Hii hii hii nakudanganya..... KESHAKUFA

    tehetehe
Back
Top Bottom