Recent content by CHIHAYA

  1. CHIHAYA

    Wataalamu Hawa Wachunguzwe! Je, Kuna Posibility Walihongwa Kutoa Ripoti Kuwa "Tanzania Hatuwezi?!"

    Aiseee!!!!!!! Ukisoma between line hii report, unaona kila dalili za watu walioiwakilisha nchi katika mikataba hii na kuhalalisha usafirishaji wa huo mchanga walilamba chao na kuuza nchi. Iko dalili za wazi mnoo. Wakichunguzwa wote waliowahi kuhusika kusaini hii mikataba kama wapo hai au familia...
  2. CHIHAYA

    Polepole usidanganye umma kuwa CCM haijawahi kuchukua mali za umma na kujimilikisha

    Hao wananchi hawakwenda kuchangia wakiwa na kofia ya uanaCCM, bali Utanzania.
  3. CHIHAYA

    Series (Special thread)

    The unit Sleeper Cell Covert Affairs The Americans Homeland 24 Hrs Lost Prison Break Blind Spot Usipimeeeeeeeee!!!!!
  4. CHIHAYA

    James Lembeli, Esta Bulaya: Hatuitaki tena CCM

    Angalizo: Usije ukawa unamchanganya na Deo Sanga ambaye ni Mfanyabiashara mkubwa na mbunge wa Makambako. You better be right.
  5. CHIHAYA

    Je, Anaitwaje?

    Hiyo First Gentleman imekaa vyema na kwa mara ya kwanza niliisikia kwenye Movie series ya 24 Hrs ilipotokea Marekani imepata Rais mwanamke(Madam President Taylor).Season 8.
  6. CHIHAYA

    Jamaa apasua vipande kila kitu alichomiliki na mkewe, ili wagawane kwa talaka

    Cut his Dick? Are you aware of what you are talking about? Was the dick earned when they were together or it is God given? The reason you didn't here anything about a house being cut is that, may be they didn't manage to own a house or the guy owned a house before they met.
  7. CHIHAYA

    Japo hakuna kupokezana: Kiukweli, kihaki, kihalali na ki-Muungano, 2015 Si Zamu ya Zanzibar?

    Wadau tuulizane hapa labda wengine wanafahamu. Hivi waziri mkuu ni wa muungano au ni wa Tanganyika? Sijawahi kumsikia Waziri Mkuu Pinda akikagua miradi ya maendeleo Chake chake au Kisiwa ndui au kule Uzini. Kila akitoka Dar ni either anaenda kuhudhuria vikao nje ya nchi ama anatembelea miradi ya...
  8. CHIHAYA

    Japo hakuna kupokezana: Kiukweli, kihaki, kihalali na ki-Muungano, 2015 Si Zamu ya Zanzibar?

    Hapa napingana na wewe kuwa watanganyika walipora nafasi ya wazanzibari 2005. Wazanzibar wao wenyewe kwa unafiki wao ndo waliouza nafasi kwa Watanganyika wakisukumwa na ubaguzi wao walioujenga kwa mwenza Dr. Salim. Mbona tunaficha hili? Kwa faida ya nani? Halafu tunataka kufanya tunawaonea...
  9. CHIHAYA

    Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani, Shilingi inahujumiwa na Mabenki?

    NIMEKUSOMA VIZURI SANA. Hapa mwisho umetia wazo zito ambalo ni suluhu ya kudumu kwa muda mrefu. Russia wanasurvive mpaka leo pamoja na hujuma wanazifanyiwa kwa mbinu hii ya serikali kutengeneza matajiri wazawa wanaifanya kazi chini ya uangalizi wa system. Ruanda inafanya hivo pia na wote...
  10. CHIHAYA

    Afya Za Viongozi wa Kisiasa: Msisikilize Maneno ya Kuambiwa!. Kuona ni Kuamini!. Tazama Hii!.

    Kabisaaa!! umenena yaliyo kweli. Walau wangetafuta hata team mpya lakini siyo akina Apson Mwang'onda wale waleeee. Kasoro tuu sasa kutoka kwenye team inaonesha members wengi wanaitaka nafasi. Binafsi sioni kama kuna la maana ambalo wanaweza kulileta kwa nchi yetu kama ambavo watu wengi...
  11. CHIHAYA

    Slaa tishio CCM Uchaguzi 2015

    Mwenzetu kwako dini unazielewa kwa namna ipi? Hivi kuna dini inayoitwa Ulutheri hapa duniani? Au unazungumzia madhehebu? Wakristo ni wakristo, Waislamu ni waislamu na Wahindu ni wahindu nk. Madhehebu yanawatofautisha ktk baadhi ya masuala madogo ambayo hayavunji msingi wa kuwa wao wanaamini ktk...
  12. CHIHAYA

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Nashukuru Sana Mkuu!!!!!!!!!!! Nimewafikishia maelezo na wameyafuata na kufanikiwa maana mimi sipo huko bongo. Ubarikiwe!!!!!!!!!
  13. CHIHAYA

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Nashukuru Sana Mkuu!!!!!!!!!!! Nimewafikishia maelezo na wameyafuata na kufanikiwa maana mimi sipo huko bongo. Ubarikiwe!!!!!!!!!
  14. CHIHAYA

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mimi naomba kuuliza juu ya vifurushi vya Blackberry kupitia Vodacom. Nina watu watatu nimewanunulia simu za Blackberry wanahangaika kujuwa kama kuna kifurushi cha vodacom kupitia blackbery kitakacho wawezesha kupata Internet na kupiga pamoja na sms baadala ya kununua cha internet tupu...
  15. CHIHAYA

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mimi naomba kuuliza juu ya vifurushi vya Blackberry kupitia Vodacom. Nina watu watatu nimewanunulia simu za Blackberry wanahangaika kujuwa kama kuna kifurushi cha vodacom kupitia blackbery kitakacho wawezesha kupata Internet na kupiga pamoja na sms baadala ya kununua cha internet tupu...
Back
Top Bottom