Recent content by Chigoto

  1. C

    Jerry Muro: Utoto huu wa mbunge Nassari na Lema, Watanzania tuwe wakali. Tutapoteza taifa

    Nadhani ile kosakosa ya kufungwa kwa tuhuma za rushwa ndio zimemfanya aanze kuwa hivyo na naona ikiwania sana cheo cha u propaganda ndani ya Chama! Ila akumbuke tu hizo ni tuhuma nzito zilizo ambatana na ushaidi mzito na hazijibiwi kwa andiko la Jerry Muro....!
  2. C

    Wanasheria: Kama mkojo wa Manji unatusumbua kwenye mikataba itakuwaje?!!

    Tatizo letu polisi wetu na wendesha mashtaka ( DPP) lao moja! Polisi ni nguvu na hawa wengine kukomoana tu! Wangekuwa kwanza wanahilizisha na evidence na exparte opinion wasingefika huku....! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    Halotel mnatuibia wateja wenu

    Wamekuwa matapeli sana! Hata customer care wao ni hopeless sana na hapo bado kuwapata customer care ni shida! Mie nimepanga kuwashtaki TCRA Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    Ubunge wa EALA: CHADEMA hatukukosea, tutaenda Mahakamani kupinga Uchaguzi

    Kwani mchakato wa kugombea si ulikuwa wazi kwa kila mwenye sifa ikiwa pamoja na hao wanawake wa CHADEMA!!?
  5. C

    Nakwenda India Kesho, Kinana yuko Hospitali Gani Nikamsabahi?

    Ni Mgonjwa katumwa na Mh Raisi na atakaa kwa siku 14 huko alikoagizwa na mkuu kutibiwa! Sijui toka lini mgojwa akatumwa kwenda tibiwa na tena kwa siku ambazo zinajulikana!!? Tuendelee kusubili
  6. C

    DC Hapi aagiza baa maarufu Jijini Dar, Corner bar ifungwe!

    Duuuh hii ni kukurupuka kwingine tena! Hii bar imesajiliwa rasmi na inalipa kodi na imeajili Watanzania wenzetu! Hao wanajiuza hawajapewa ruksa na mwenye bar! Mkuu wa Wilaya kama alitaka kuondoa biashara haramu pale ashirikishe viongozi wa Serikali za Mtaa na viongozi wa vyombo vingine vya dola...
  7. C

    Tujikumbushe makundi ya wasanii hapa TZ waliobamba na wimbo mmoja kisha wakapotea

    BOYS WITH VOICE ( BWV) nawakumbuka sana hawa jamaa! Barabara kweli ulikuwa wimbo wenye ujumbe kwa wana Mwanza enzi hizo
  8. C

    DAR: Utaratibu mbovu wa zoezi la uhakiki wa TIN, foleni bado ndefu

    Mie najiuliza nini essence ya huu uhakiki!!? Maana hata kama ni suala la deadline basi useme kuna deadline kwa sababu fulani! Kwenye Uchaguzi kuna deadline kujiandikisha maana kuna Uchaguzi mbele.
  9. C

    Utawala TRA, uhakiki huu ni unyanyasaji

    Huu utaratibu kwa kweli sio rafiki na sidhani kama hilo lango wanataka wanaweza fikia! Nadhani wangejaribu kubuni namna nzuri ya kumfanya pia mteja asiboreke! Taarifa za Mlipa kodi zingeweza fanywa kwa mfumo kama daftari wa wapiga kura na kusogeza huduma ofisi za Serikali za Mtaa!
  10. C

    WAZIRI MKUU: Safari ya Dodoma imeiva sasa, tutakwenda kwa awamu kama ambavyo imepangwa

    Mkuu nadhani na wewe hujamwelewa vizuri mleta uzi! Mh Waziri Mkuu alisema akihamia yeye atashangaa kama kuna Waziri atabaki Dar! Lakini tujiulize swali moja tu je kimiundombinu Dodoma ipo tayari kwa kuipokea Serikali!!!? Dodoma hakuna Maji ya kutosha, leo ukiamisha Waziri Mkuu na hao Mawaziri ni...
  11. C

    Ongoing projects in Dar es Salaam Tanzania East Africa 2017

    Project nzuri sana na itakuza jiji haraka! Tatizo je kwa wakati huu wapo wa kuzijaza!!? Kama wageni wanaondoka na wafanya biashara wanafunga biashara haya si yanakuwa magofo!!?
  12. C

    Rais Magufuli: Namshukuru Waziri wa Nishati na Madini kwa kutengua upandishaji wa bei ya umeme

    Suala la kupanda kwa bei ya umeme ni suala la kitaalam na mie naamini mpaka Ewura wanapandisha bei lazima kuna vikao vingi sana vya wadau na watendaji! Ila ndo hivyo tena sidhani kama ni haki kumhukumu Mtendaji Mkuu wa Ewura kwenye hilo
  13. C

    Secretary anahitajika haraka

    Dar es salaam
  14. C

    Secretary anahitajika haraka

    Natafuta Secretary mwenye uzoefu na anaejua kuongea na kuandika Kiswahili na Kiingereza! Awe na umri chini ya miaka 30. Kwa ambaye yupo tayari atume email kwa info@enm.co.tz au fmasha@enm.co.tz. Aksanteni.
  15. C

    DC Hapi: Ajira ni aina fulani ya mfumo wa utumwa; Ashauri wasomi kujiajiri

    Hawa viongozi wetu wanajisahau sana! Alivyokuwa pale Lumumba anatafuta cheo hakujua kuna uwezo wa kujiajili!!!?
Back
Top Bottom