Muro yupo vema sana rudini Nairobi mje mfingue ofisi acheni kuhangaika na Jerry Muro. Mshukuruni kwa kuendelea kuwatoa matongotongo ya ufubaa wa akiri za kibavicha na kwa kifupi amewaacha mbali sanaKwa kauli zake ni dhahiri anatafuta huruma ya mkuu wa katika utawala wake! Ila kumbuka Jerry Muro kauli kama hizi zilisahi kuwafunga watu jela maisha!hata ukikumbuka mauaji ya kimbari Rwanda baada ya kudhibiti sheria ilichukua mkondo wake na watu wapo jela kwa sababu ndogo yakusema neno "Kanyaga hao mende"
Hivyo kwa watanzania tunamjua Jerry msipoteze muda!Tumbo linamsokota!