Recent content by Chifu Ihunyo

 1. C

  The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

  Nimegundua sasa Majeshi yetu yote na watu wa Usalama wana enjoy mapesa ya walipa Kodi. Juzi Mwanza nimeona wale FFU wamepewa special kofia nyekundu wanatamba njiani eti wanatafuta waingizaji wa mirungi lakini mbele ikaja gari ina wasomali wakakata mapesa mengi wakaachiwa kuingia na mirungi...
 2. C

  The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

  Ndugu Mtanzania tufikie mahali tuangalie Tanzania na si vyama vyetu.Naona michango inavyo changanya nia nk.Umewavaa sana Chadema lakini kumbuka hata CCM sasa wanataka kuandamana kama ni kweli kuhalalisha wizi wa Karamagi na wewe ni Chama chako ? Mimi nadhani tuongelee siasa za Tanzania kulingana...
 3. C

  Huyu ndiye the real Kikwete!

  Mugongo huwezi kunipata kirahisi ama kama umenipata basi hutaki kusema umenipa I wonder kwamba unaandika sawa kabisa na Mzee Es aliye tuaga hapa maana I smell the beef aliyonayo kwa Mbowe ila sasa wewe umekuja na njia tofautio kidogo ambaye inakuwa rahisi kwa kila mwana JF kujua what is going on...
 4. C

  Huyu ndiye the real Kikwete!

  Mugong what is the message behind your question ? I see another side of you Mugongo am sorry if I am wrong .
 5. C

  Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

  Mugongo nadhani una matatizo makubwa badala ya Mbowe ambaye unaonekana kumvalia njuga . Mimi naishia hapa wengine wataendelea ila wako watako kupa majibu kutokana na mchango but I bet Mbowe kapiga hadi Ikulu kwa ukali wa maoni yako .
 6. C

  Huyu ndiye the real Kikwete!

  Kikwete; tushike anayoyasema au anayoyatenda? Kitila Mkumbo KUNA kanuni kuu tatu katika ufundishaji, ambazo kila mwalimu mwenye kufuata kanuni za ualimu huzifuata pindi anapoingia darasani kufundisha. Kwanza, mwalimu atawaambia wanafunzi wake kile ambacho anataka kuwaambia katika siku...
 7. C

  Tanzania National Identities

  Nina wasi wasi na akina Tibaizarwa , Otieno, nk. Hapa sasa swala nani i raia na nani si ndipo linakuja lakini kwa rushwa na kujuana yote hata yanawezekana Tanzania yetu ya ajabu . Wacha tuone . Je kwa nini baraza la Mawaziri likalie hili jambo na si Bunge ? Pesa hizi zinatolewa hazina ama ni...
 8. C

  Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

  Kumbe wewe ni Mganda ? Maana Amin was a living devil Ugandan leader.Anakuwa shujaa wako kivipi ? Kuna akina Mkwawa hapa , shujaa Nyerere, Patrice Lumumba nk na hata Amina naye ? Ama ni shujaa wa Waislam ? lakini kwa ushujaa upi hata wa kuwafanya nyie waiskam kumkumbuka ?
 9. C

  Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

  Ukipinga Mwalimu kuwa hastahili utakatifu lazima ujue unacho kipinga . Kuna watu wana kusanya data ili kufanya maamuzi baadaye lakini data pekee hazitoshi tunangoja miujiza . Tayari kuna ushahidi wa tu kuhiji Butiama na wamepona . Hilo hutakubali lakini ndiyo mwanzo wa miujiza . Mtu yule alikufa...
 10. C

  Tanzania: Utawala bora vs Rushwa

  Mzee Es What are you trying to tell us ? Je unachokataa ni kutoa rushwa kwa ndugu yako ama kuiba kura ? Maana hapa kuna mawili ambayo ndani ya Serikali ya CCM hayaachani . Kuiba kura na kutoa mlungula . Huyu jamaa yako kwanza alifanya vituko mno hadi kuingoza ukabila na uchawi kwenye kampeni...
 11. C

  Ni kweli watu walionywa kabla ya Mkutano na JK?

  Mbona mmepandisha na kubananisha mada bila ya sababu ? Kichwa habari hakiendani na mambo mengi ambayo mmeanza kuyaleta maana yake ni kitu gani ?
 12. C

  Tanzania: Utawala bora vs Rushwa

  Hii ni kazi kubwa sana kama Mzee Es unaweza kutoa hukumu ukiwa US je Mahakama za CCM zitasema nini ndugu ? Duh nimechooka sana sana .
 13. C

  In case You missed it: Watch Darwin's Nightmare!

  Mzee Es Kwenye hili ninakungoja sana usee lako la mwish ukiwa tayari lakini naona umeanza kuchukua side maana umeanza kuhoji sana ujaji wa mzungu huyu Tanzania na tabia za wazungu .Ila nasema ukweli ni mwingi sana katika filamu ile na ni 98%
 14. C

  Kesi ya Mahalu: Nani kilaza hapa?

  kwa kuwa mambo yameenda mahakamani na natumaini sasa kwamba Mahalu ndiyo kaamua kujimaliza na Mengi na walio andika nadhani wanajua wanafanya na amejimaliza bila ya kujua wacha tuone mchezo utakuwaje .
 15. C

  Hivi CCM nani ni msafi kama hata Jangwani ilisha uzwa ?

  Jangwani nayo imebinafsishwa Mikwara yote ya kusafisha eneo la Jangwani kuwaokoa walio mabondeni na mafuriko ya mara kwa mara kumbe ni danganya toto. Eneo hilo linadaiwa kuwa tayari lina magabacholi wanne waliolinasa tangu mwaka 2004 tangu enzi za Mzee wa Jiji Yusufu Makamba. Serikali...
Top