Recent content by chiefthinker

  1. C

    The enrichment of Europe during the slave trade

    In this article, I will tell you how Europe went from the status of probably the poorest continent to that of the richest continent in the world, by decimating the black continent. Copied from African Magazine The world before the European slave trade 18th century painting showing the...
  2. C

    Viwanja vya NMC Arusha: Dr. Slaa akamatwa, Polisi yajaribu kuwaondoa kwa nguvu CHADEMA

    Wakati wengine aidha kwa hiari yao au kwa kushinikizwa, wakicheza ngoma za asili na wengine gwaride kubwa,wengine wakisafisha barabara kwa sabuni ya unga huko Zanzibar eti kumkariisha na kumfurahisha mweupe,ambaye pamoja na mambo mengine serikali yake imtuagiza kuruhusu ndoa ya wanaume kwa...
  3. C

    Viwanja vya NMC Arusha: Dr. Slaa akamatwa, Polisi yajaribu kuwaondoa kwa nguvu CHADEMA

    kimsingi lazima tuangalie pande zote mbili,kamaUVCCM nao wangepigwa mabomu siku ile leo nisingeshangaa CHADEMA walichofanyiwa,lakini jeshi linapulizwa na upepo mkali wa kisiasa as a result ndo kama hivi!lets keep fighting....
  4. C

    Viwanja vya NMC Arusha: Dr. Slaa akamatwa, Polisi yajaribu kuwaondoa kwa nguvu CHADEMA

    sisi ndio vijana hao unaowasema wewe,ndio walengwa wakuu wa maendeleo ya nchi yetu,vijana tukilala mzee afanyeje?
  5. C

    Viwanja vya NMC Arusha: Dr. Slaa akamatwa, Polisi yajaribu kuwaondoa kwa nguvu CHADEMA

    CCM inashindwa kuelewa uzee wake ndo kaburi lake.Remember "the older the age...the nearer the grave"lets keep struggling for our rights!!
  6. C

    Viwanja vya NMC Arusha: Dr. Slaa akamatwa, Polisi yajaribu kuwaondoa kwa nguvu CHADEMA

    Now,katika yote haya yanayotokea Arusha nani alaumiwe?JE?Walaumiwe viongozi wa CHADEMA waliohamasisha mkesha huo?,au serikali ya chama cha mapinduzi kupitia jeshi la polisi?au labda mbunge mwenyewe!?Lakini hebu tufanye marejeo ya mikutano hii hapa Arusha,nakumbuka miezi ya hivi karibuni,vijana...
  7. C

    Ombi la mkuu ni agizo

    Sio tuu kama nimesikitishwa na maamuzi ya serikali kuhusu tuhuma zlizokuwa zikimkabili katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini bwana David Jairo kuhusu kuzitaka secta na makampuni yote yaliyo chini ya wizara yake kutoa kiasi cha tsh million 50 ili kufanikisha bajeti yake kupitishwa...
  8. C

    Mjegwa aliwahi kuandika haya kuhusu misri

    Tumewaona vijana wanajeshi kule Misri wakishikana mikono na wananchi. Ni ukweli, wengi wa wanajeshi hao wamekuwa recruited ( kuingizwa jeshini) wakitokea kwenye familia za kimasikini. Kwa wanajeshi hawa, wana uelewa mkubwa wa wanachokipigania watu wa Misri. Ni suala la wakati tu kabla...
  9. C

    Ni halali ndg Edward Lowassa kuitwa 'Waziri Mkuu mstaafu'?

    Nimekuwa nikifuatilia vipindi mbalili vya TBC almost zote (radio $ TV),na wamekuwa wakisisitiza ukweli na uhakika pamoja na kuweka utaifa mbele kwa maendeleo ya Tanzania, ijapokuwa makosa mengi yanaonekana lakini hili si kosa ni tatizo ambalo linakinzana na kauli mbiu yai ya ukweli na uhakika...
  10. C

    Munisi na CCM

    Sijuti kugombea kiti cha urais Tanzania, Bali namshukuru Mungu kuniwezesha kufanya hivyo. Mungu ni HAKI tupu na ndani yake hakuna hata chembe ya udhalimu. Hatuwezi kudai kumcha Mungu huku tukiunga mkono udhalimu wa CCM. Wanaoiunga mkono CCM dhalimu...
  11. C

    Wanafunzi wa vyuo vikuu mkue jamani acheni utoto!!!

    Mmmm!!!unajua kuna mada nyingine ukiisoma ni nzuri sana,lakini wachangiaji sasa ndo wananiacha hoi,soma wote walochangia thread hii utanisoma.
  12. C

    Dr Slaa na Mbowe,Chadema kauli zenu zina Utata!

    Kimsingi tukianza kufuatilia yanayofanywa na wanasiasa hatutayamaliza,hawa wana haki ya kutujulisha wananchi kile kinachoendelea serikalini ambayo si rahisi kwa mwananchi wa kawaida kuyajua!Nina hakika hawawezi kuongea bila evidences,lakini hebu tukumbushane waliyowahi kusema na yakawa kweli na...
  13. C

    Exclusive interview: Halima Mdee kuhusu mahusiano yake

    Sure,kuolewa si lazima japo kunaongeza heshima
  14. C

    Azimio la Arusha: Kuzaliwa upya?

    APRILI 30, mwaka huu, Ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kulifanyika kongamano la miaka 44 ya Azimio la Arusha. Ni kongamano lililoandaliwa na Sauti ya Vijana Tanzania-Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (SAVITA – UDSM), kwa kushirikiana na Klabu ya Falsafa chuoni hapo...
  15. C

    Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

    Hongereni kwa kutambua umuhimu wa kuwafikia watu walipo,and thats democracy
Back
Top Bottom