Kirode
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 3,566
- 82
late hatuhami chadema tena mmechelewa mbele kwa mbele tumepata mke mpya wa zamani ataongea megihe he he eheeee, ununuzi wa magari chakavu ya mbowe wakati wao ndio wanaopinga, vp hapo mkuu? Slaa kula matapishi yake mwenyewe kwa kusema mishahara ya wabunge ni mikubwa , wakati yeye amelazimisha baraza kuu limlipe kama mbunge, hapo vp mkuu? . Ni kweli wanachosema sicho wanacho tenda. Kama data ndizo hizo