Recent content by ChiefSelex

  1. C

    JamiiForums Tanzania Uchawi gani umetumika kuiba hela zangu kwenye kibubu?

    Christmas na Mwaka mpya umeshaula vibaya mkuu... Polee sana unawaza vibunda vyako tu
  2. C

    JamiiForums Tanzania Postini motto ya shule uliyotoka tujue shule yako!

    Striving for excellence
  3. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume usiye na kazi usipende!

    Haha!! Unataka walipuke
  4. C

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    2:37
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bondia Hemed Rashid apigwa hadi kutapika na kuzimia Dar Boxing Derby

    Naskia mandonga anapambano na mbelwaa ijumaa hii
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simuelewi anataka nini

    Hapo hamna mapenzi just move on
  7. C

    JamiiForums Tanzania Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa apigwa kofi hadharani

    Daah
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ulifanya nini au unafanya nini kupambana na kutokuwa na kazi au ajira ili maisha yaendelee?

    Kampuni inauza hisa ikiwa na upungufu wa capital.. Hivyo inauza hisa ili kukuzaa capital
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane ya Pugu Sekondari

    Pugu na pond, P.E, kudrop kwenda lamboto, vidumu vya lita tano kutafta maji ya kunywa.... yote kwa yote Pugu inakuweka kuwa strong... Long live Pugu secondary and high school
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane ya Pugu Sekondari

    Kumbe mkal wa hesab SHOKI ni kitambo sana PUGU na msimazi wa miradi NAMPANDA mzee wa kilimo
  11. C

    JamiiForums Tanzania Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

    Hujanipata mkuu, ninamaanish kuwa kwa wanafunzi wa shule hakili zao bado hazijakomaa, akiona mwenzake anakuja na suti kila siku inamharibu kisaikolojia. Lakin kwa wewe mtaani ni mtu mzima unajari maisha yako tu. Kingine hapo umecompare private na serikali. Tukichukulia let say serikalini...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

    Kuweka usawa kwa wanafunzi wote ili kuondoa inferiority
  13. C

    JamiiForums Tanzania Wasukuma acheni kuongea kilugha mkiwa mjini

    Badala alete uzii wa maana, analeta uzi wa kujadili ukabila utatupeleka wapi[emoji848]. itabidi tumrudishe karne ya 19 huko, haendani na kasi ya 21st century kabisaaa
  14. C

    JamiiForums Tanzania Wasukuma acheni kuongea kilugha mkiwa mjini

    Watu kuongea kabila lao wanapokutana sio ushamba, bali ni utashi tu wa watu na kuficha mazungumzo yao. Tuacheni huu ulimbukeni wa mjini kwamba tukijua kiswahili hatutaki kuongea kabila zetu. Tukumbuke kuna wazee wetu vijijini hata kiswahili hawajuii
Back
Top Bottom