baby success
JF-Expert Member
- Jul 14, 2022
- 548
- 1,806
KAZI nzur mkuu. Yaani kama ambulance unalia huku una move on [emoji1787][emoji1787]Tena kausha hivyo hivyo na namba zake futa akikutukia message mwulize we nani ??
Duuuuu mshipa wa huruma haupitish damu kabisa..KAZI nzur mkuu. Yaani kama ambulance unalia huku una move on [emoji1787][emoji1787]Tena kausha hivyo hivyo na namba zake futa akikutukia message mwulize we nani ??
ushauri mzuri sanaMpelekee moto atakua kakumiss
move on ndio nin wadau ?Hela utafute kwa kuifanyia kazi, Bado na mapenzi uyafanyie kazi.
endelea kumove on agenda ni nyingi mno huku uraiani
Subiri wanakuja kudadafuamove on ndio nin wadau ?
Acha uyaya wa mapenzi, yaani bado hujitambui, wanaume of 21 century wanata mpaka uwashikie mapanja, hawajielewi kabisaHope mko salama,
Niko na mahusiano na mwanamke kwa miezi 5 sasa, mwanzoni tulikua tupo vizuri tuu calling , chatting, sex etc.
Sasa mwezi huu mwanzoni akanza kufanya vitimbwi, visa vya ajabu ajabu, mara unaongea naye kwenye simu kidogo anakwambia ana usingizi, message hajibu kwa wakati, sometimes anaweza kuona missed call asikutafute kabisa, na status anapost na yuko online.
Ukimuuliza nini shida, anasema hakuna shida! Yaani akawa kama yupo tuu, alikua ananiita bby, mara akaanza kuniita ndugu yangu, mara boss etc.
Sasa nikaamua kufanya maamuzi ya ku move on, maana niliona kabisa hakuna tena mapenzi, nikaamua kukaa kimya kabisa nikawa simtafuti tena, wala kumpigia tena simu.
Akaanza kunitumia message mbona kimya tatizo ni nini, nikawa sijibu, akipiga sipokei.
Sasa kilichonileta hapa ni hiki, kila siku lazima anitumie ujumbe wa usiku mwema my love, na asubuhi hivyo hivyo, ana siku karibu tisa anafanya hivyo na sijawahi mjibu hata siku moja na hachoki.
Kuna upendo hapa wadau?
Loveness sio jina languloveness?
samahani ila hiyo avatar yako, mikono imefanana na ya ex wangu sana.Loveness sio jina langu
Ex wako anaitwa nani?!samahani ila hiyo avatar yako, mikono imefanana na ya ex wangu sana.
Mapenzi ni Hatari sana, full kuweweseka mpaka kwenye mikono.
Ushauri mmbovuMpe hela, inaonekana umepunguza matumizi
anaitwa nilivyokuitaEx wako anaitwa nani?!
anaitwa nilivyokuita