Recent content by Chief wa kibena

  1. C

    JamiiForums Tanzania Sheikh, Prof, Dr, AlHaj. Jammeh aondoka Gambia

    alichokifanya Ni kizuri!! naona west Africa sio sir wamestaarbika nch nying mshind halal ndo hutangazwa, kuanzia Ghana, nigeria, senegal, Gambia tofaut na maeneo mengine ya afrika mfano mzur Zanzibar..
  2. C

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anne Kilango Malecela kuwa mbunge

    aisee atakuwa anashukuru sana kutumbuliwa maana kutoka kuwa MKUU wa mkoa had ubunge sio sir kapanda cheo...nashukuru magufuli Kwa k unitumbua kwenye ukuu wa mkoa ( in kilango voice)
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini baada ya makosa imebidi panga limshukie Dr. Possi?

    huwez fananisha ubunge na ubaloz kwa kweli.. ubunge una hadh kubwa kuliko ubaloz!! ndo maana ukifka wakat wa uchaguz mabaloz wengine hurud nchn kuomba kuteuliwa kuwa wabunge!! kule anaenda kukalia bench Kwa kweli.. pole yke Kwa kutolewa sadaka.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Senegal kuingia Gambia Ifikapo saa 6 kamili usiku

    unaifahamu Gambia kijiografia ilivyo!! hizo nxhi zingne haziwez kwenda Gambia bila kupita Senegal...nadhan umeelewa maana yangu otherwise waseme majesh ya ecowas
  5. C

    JamiiForums Tanzania Pole sana Agnes Masogange kwa ajali

    kweli maeneo mengine yko salama...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    sio kule kwetu tuna liita lipingang'ombe kwan anaweza gonga hata ngombe ishirin atiiii
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kafulila: FAO na BOT hawakusikilizwa kuhusu njaa

    bado magereza billion kumi!!!
  8. C

    JamiiForums Tanzania Waambieni vodacom msimu wa sikukuu umeisha

    Shule zingne zinafungua tar 16/1/2017, so stl wengne wapo likizo... na bado tupo msimu wa sikukuu Jana tar 12 si ilikuwa sikukuu ya mapinduz bado tar 5/02/2017 Ni ckuu ya kuzaliwa ccm...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapiga marufuku ‘tinted’ kwenye kioo cha mbele ya gari

    hebu mtuwekee Picha ya hio tented ya kioo cha mbele maana kama cjaelewa hiviiiii
  10. C

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kupotea kutokana na kutoijua sehemu unayokwenda? Na ilikuaje hebu tiririka hapa

    Kwa sasa but kipnd cha nyuma hujawah potea
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kwenu ninyi wakuu wa shule za sekondari

    ungeitaja Shule ili aweze saidiwa!! au angeenda Kwa AFISA Elimu huo msala ungeisha kabsa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania AZAM hamnitendei haki kwa hizi chupa za juice

    waliwadisainia watoto, si unajua wanapenda kujirambaramba, sasa we mtu mzimaa kaz IPO.. .. (jokes(
  13. C

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kupotea kutokana na kutoijua sehemu unayokwenda? Na ilikuaje hebu tiririka hapa

    Ndugu zangu wana JF, Leo ningependa watu to share vile vitu, vituko vilivyowahi kutukuta kutokana na kutoijua sehemu unayokwenda iliyopelekea kupotea au kupata shida. Binafsi niliwahi kupotea kwani nilikuwa natoka Moshi kwenda Arusha na nikaambiwa nishuke Arusha tech, katika kuuliza uliza...
Back
Top Bottom