Waambieni vodacom msimu wa sikukuu umeisha

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
18,716
28,624
Wambieni vodacom msimu wa sikukuu umeisha, lile tangazo lao ya yule mtoto anayelilia kwenda kwa bibi shule zishafunguliwa aende shule akasome, kwa hiyo hilo tangazo walitoe linaboa na sikukuu imeshaisha hilo tangazo liko kwenye tv.
 
Utakuwa una matatizo na uwezo wako wa kuchanganua mambo
Mwenye kutoa tangazo ni Tv,hawezi kulitupa kama mkataba wa kulitangaza haujakwisha.Kama linakuboa zima tu Tv yako ya chogo au unahama tu station
 
Shule zingne zinafungua tar 16/1/2017, so stl wengne wapo likizo... na bado tupo msimu wa sikukuu Jana tar 12 si ilikuwa sikukuu ya mapinduz bado tar 5/02/2017 Ni ckuu ya kuzaliwa ccm...
 
Utakuwa una matatizo na uwezo wako wa kuchanganua mambo
Mwenye kutoa tangazo ni Tv,hawezi kulitupa kama mkataba wa kulitangaza haujakwisha.Kama linakuboa zima tu Tv yako ya chogo au unahama tu station
We ni meneja matangazo wa voda maana umeshikwa hasira sana
 
Back
Top Bottom