Recent content by Chief Navigator

  1. Chief Navigator

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya UN: Finland yashika namba 1 kwenye orodha ya nchi zenye furaha zaidi duniani; Tanzania ya nne kutoka mwisho

    Hivi hao wanatumia vigezo vipi kupima furaha? mbona furaha hubadilika badilika kulingana na mtu binafsi anavyo jiskia tu siku hiyo....:(:(:(
  2. Chief Navigator

    JamiiForums Tanzania Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

    Umekutana na mshkaji kwenye Supplimentary anakuuliza, kumbe na wewe ulishikwa? Jibu: Hapana nimekuja kuwasimamia.
  3. Chief Navigator

    JamiiForums Tanzania Ford Ranger pickup

    e Good, of course economy ina matter.
  4. Chief Navigator

    JamiiForums Tanzania Ford Ranger pickup

    Good amigo, maelezo yako pouwa.
  5. Chief Navigator

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Leta uthibitisho tafadhali, yeyote anaweza ongea hivyo.
  6. Chief Navigator

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    The best thing you can do with fools is nothing. I don't argue with fools. Onyesha facts sio kutumia majibu ya vichochoroni.
  7. Chief Navigator

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Duu hii battle haina mwisho aisee! Hawa jirani pia wana kitu inaitwa Mungiki, one of the most dangerous gangs in the world. Hapo mimi mikono juu kiukweli wametuzidi mbali kwa hapo pia.
  8. Chief Navigator

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kama Vipi tuanzeni kulinganisha slums za Dar na Nairobi. Hapo Tuyaone mema na mabaya pia, a.k.a mambo ya uvunguni.
  9. Chief Navigator

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Viam Inveniam Aut Faciam
  10. Chief Navigator

    JamiiForums Tanzania Kwa kishindo cha bomu la hydrogen, Dogo wa kiduku kafunga mjadala!

    Bravo!!! Vizuri umeelewa.
  11. Chief Navigator

    JamiiForums Tanzania Kwa kishindo cha bomu la hydrogen, Dogo wa kiduku kafunga mjadala!

    Una busara ndogo kweli wewe, kwa mawazo yako unaona madhara yatatokea kwa nchi zitakazo pigana tu? Na unaposhabikia hili swala la nchi mbalimbali kumiliki silaha za nuclear (including USA), unafikiri silaha hizo zitatunzwa kwenye maghala milele? Wakati wowote nchi ambayo ni politically unstable...
  12. Chief Navigator

    JamiiForums Tanzania Ford Ranger pickup

    Hapo je...?
  13. Chief Navigator

    JamiiForums Tanzania Kwa kishindo cha bomu la hydrogen, Dogo wa kiduku kafunga mjadala!

    Jamani haya mambo sio ya kufanyia mzaha wala ushabiki hawa jamaa wanatishia usalama sio wa USA tu bali dunia.
  14. Chief Navigator

    JamiiForums Tanzania Maneno na kauli maarufu kwenye utawala wa JPM

    Vilaza
  15. Chief Navigator

    JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

    Yawezekana aliona mica, madini ya silicate ambayo yanaweza kuonekana katikati ya miamba mingine. Muonekano wake ni kama vioo vilivyobanwa pamoja (sheets). Angalia picha hii,
Back
Top Bottom